Jukumu la katibu wake kuweka kumbukumbu! Ni mawazo yangu tu. Kwani akitoa hizo siku kadhaa ni kwa kauli tu au na maandishi pia. Nitashangaa kama hakuna barua zinatolewaKila akienda anatoa Siku kadhaa!! Anakumbuka lakini...?
Watu walikuwa wanalalamika TZ sio Dar tu. Sasa Waziri kafika Moro,Lindi still ma genius bado wanabeza. Sasa sijui walitaka akikuta hali mbaya awape mwaka mzima kurekebisha? Vitu vingine kwenye hospitali zetu ni kutojali tu wakibanwa wanarekebisha.Jukumu la katibu wake kuweka kumbukumbu! Ni mawazo yangu tu. Kwani akitoa hizo siku kadhaa ni kwa kauli tu au na maandishi pia. Nitashangaa kama hakuna barua zinatolewa
Mh Waziri toka siku 60 na milion kadhaa za kufanya hayo unayotaka. Achani ujinga wa kila kitu mnatoa siku na kufukuza mkiambiwa panahitajika hela mnakimbia kama Usain Bolt. Hawa viongozi wanatakiwa kuona chanzo cha tatizo na namna gani ya kulitatua sio kukurupuka na kutoa siku. Elimu, Afya inahitaji uwekezaji wa maana kwan hali ni mbaya sanaNaibu Waziri wa Afya, Dkt. Kigwangalla amefanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Rufaa Morogoro
-Ametoa siku 60 vifaa ndani ya chumba cha upasuaji viwe vimerekebishwa
View attachment 323885
anashangaza.....UNAJUA HUYU ANA ACT KAMA wAZIRI KAMILI ATI KWA KUWA YEYE NDIYE DR HAPO WIZARANI NA uMMY NI lAWYER
mwisho wa siku yeye ni jipu linakua.....Jukumu la katibu wake kuweka kumbukumbu! Ni mawazo yangu tu. Kwani akitoa hizo siku kadhaa ni kwa kauli tu au na maandishi pia. Nitashangaa kama hakuna barua zinatolewa
Kauli/agizo la kiongozi pia hua ni formal communication so hata asipoandika barua kwa wahusika bado kauli inamashiko vilevile ila kama ni kwa ajili ya kumbukumbu hapo sawaJukumu la katibu wake kuweka kumbukumbu! Ni mawazo yangu tu. Kwani akitoa hizo siku kadhaa ni kwa kauli tu au na maandishi pia. Nitashangaa kama hakuna barua zinatolewa