Waziri Dkt. Stergomena Tax: Maveterani waliopigana vita ya kagera wameshalipwa, hakuna anayedai

Waziri Dkt. Stergomena Tax: Maveterani waliopigana vita ya kagera wameshalipwa, hakuna anayedai

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,177
Reaction score
7,472
Akizungumza Bungeni, leo Juni 13, 2024, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amesema Wanajeshi wastaafu walioshiriki katika Vita ya Kagera wote wameshalipwa na hakuna anayedai.


Pia Soma:
~
Miaka 45 tangu Majeshi ya Tanzania yashinde vita Uganda dhidi ya Iddi Amini: Wazee wetu wanakumbukwaje?

~ Historia ya Vita ya Kagera 1978-1979

~Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

~ Waziri wa Ulinzi na JKT atoa ufafanuzi kuhusu malipo ya Pensheni za Maveterani wa Vita ya Kagera
 
wamelipwa lini mafao yao hao wanajeshi waliopigana vita ya uganda.. shuhuda mzee wangu toka ametoka vitani hadi leo hajalipwa hata senti wanzaungushwa kila kukicha..
 
Mzee wangu kashajizeekea wala hana hata habari kama kuna kulipwa 😁
 
Back
Top Bottom