DOKEZO Waziri Dkt. Dorothy Gwajima mfuatilie Mwl. Mkuu S/M Kimandafu wilayani Meru, anafanya ukatili kwa wanafunzi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Sangamwalogesha

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2025
Posts
2,144
Reaction score
1,300
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali.

Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya ovyo vilivyokuwa vinadhulumu haki za watoto wetu. Nililalamikia kitendo cha wanafunzi wa shule ya msingi Kimandafu kusahihishiana mitihani. Kiukweli ni kitendo cha ovyo kinachoharibu ubora wa elimu kwani unakuta maswali mengine hayajasahihishwa, maksi imekosewa kujumlishwa n.k.

Pia soma > Meru: Hii tabia ya wanafunzi kusahihisha mitihani ya wanafunzi wenzao ndio competence-based education?

Nashukuru serikali kesho yake walienda wadhibiti ubora kutokana na ukweli kuwa serikali yetu ni sikivu. Cha kushangaza baada ya taarifa ile na hatua iliyochukuliwa mwl. Mkuu badala ashukuru na kuwachukulia hatua walimu wahusika alianza kutafuta mwanafunzi/wanafunzi waliotoa taarifa ile, sasa kwa akili ya kawaida kuna mwanafunzi wa shule ya msingi anaweza kuja kuandika humu?

Ndipo akaanza kuwanyanyasa watoto wa familia moja akihisi mzazi wao ndiye aliyeandika thread niliyoandika mimi. Mtoto moja alikuwa anafanya usafi ktk ofisi yake akamwondoa ofisini kwake, sijui kuna priviledge gani kufanya usafi ofisi ya mwl. Mkuu, labda kumnyanyasa tu kisaikolojia.

Kuna mtoto mwingine mdogo ana kama miaka 8 huyu ndiyo amemnyanyasa kwa kushirikiana na walimu wake, mtoto mdogo kama huyu anaitwa ofisi ya walimu wote anahojiwa vitu vya kipuuzi, anasimangwa, mtoto ambaye hata hawezi kujieleza ukamwelewa.

Mara wamwambie apeleke shuleni karatasi zake za test zilizopita, mara wachunguze madaftari yake, mara maksi aliyopata 44/50 anarekodiwa 11/50. Huyu mtoto alikuja kuugua ghafla sijui ni unyanyasaji ule. Kumbuka ni mtoto wa miaka minane(8), just an innocent child. Kisa thread iliyoandika humu JF, kwanza huu mwl. Mkuu ajue yeye ni kiongozi, ni public figure Rais anaandikwa yeye asiandikwe akifanya uzembe ye ni nani?

Yule mama ni katili tena kwa watoto wadogo wa chini ya miaka 10. Habari kwamba wanafunzi wa darasa la 6 na la 7 kuwa wanasahihisha mitihani ya madarasa ya chini ni siri? Anachukulia wazazi wote kwamba hawawezi kupitia kazi za watoto wao na kugundua makosa? Hii ni dharau kwa wazazi.

Huyu mama hapendi watoto wadogo ushahidi ni vyakula anavyowapikia, watoto wanalishwa makukuru, makande yasiyokobolewa wakati shule za jirani zenye wanafunzi zaidi ya 1300 wanapikiwa vizuri, mahindi yanakobolewa, pili kuna mama moja mzungu anaitwa Birgita anasambazaga unga wa lishe, choroko na vitu vingine ktk baadhi ya shule zilizo ktk Halmashauri ya Wilaya ya Meru, huyu mwl. Mkuu wa shule ya msingi Kimandafu yeye hugawana vyakula hivi na walimu wenzake watoto wa watanzania wakilishwa makukuru, huu ni udhalimu na ukatili wa haki za hawa watoto.

Haitoshi kila mtihani shule hii ni wa kulipia, mitihani mingine kila mtihani unafikia sh. 4000. Mtihani wa juzi wa terminal umelipiwa, anatumia kamati ya shule kwa maslahi yake, dhana ya elimu bila malipo iko wapi?

Huyu na kamati yake wako juu ya Rais wa nchi hii? Afanye upuuzi na uzembe wake halafu anakuja kutishia watoto wetu wadogo waliodhulumiwa haki zao kwanini? Hii kiburi anaitoa wapi, pale Halmashauri nani analinda huu uovu, huu uchafu?

Huyu mama aache kutishia watoto wetu, atimize wajibu wake, hii ni shule ya umma siyo ya babake, na ingekuwa ya babake angewabembeleza watoto wetu, ila kwasababu ni ya serikali anaona watoto wale hawana haki.

Mh. Waziri watoto wanaosoma shule za serikali imefika sehemu wanachukuliwa kama raia daraja la pili, hii haikubaliki. Mh. Gwajima sina ugomvi wala kisa na huyo mwl na kimsingi hanifahamu, kama mtanzania na kama binadamu sipendi uonevu, unyanyasaji, ukatili hasa kwa watoto wadogo malaika tu ambao bwana wetu Yesu kristo alisema acheni watoto wadodo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Sasa anatokea mtu moja kwa ushetani wake anawanyanyasa, anawatesa kisaikolojia, ingilia kati mheshimiwa uwasaidie watoto wetu dhidi ya madhila haya. Kuna shule ya jirani, yule mwl. Mkuu wake anawapenda wanafunzi wake, watoto chakula ni kizuri, msaada mama Birgita wote wanapewa watoto hakuna mwalimu anausogelea.

Juzi kawaelekeza walimu wake kuwatendea haki wanafunzi hasa ktk mitihani yao ya wiki iliyopita. Serikali iwe inafanya vetting ya kutosha mwl. Mkuu wa shule ya msingi sifa kuu iwe upendo kwa watoto hasa wadogo maana siku hizi wanapelekwa watoto mpaka wa miaka 3, mtoto km huyu anaweza kula makande hayajakobolewa na akashiba?
 
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali.

Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya hovyo vilivyokuwa vinadhulumu haki za watoto wetu. Nililalamikia kitendo cha wanafunzi wa shule ya msingi Kimandafu kusahihishiana mitihani. Kiukweli ni kitendo cha hovyo kinachoharibu ubora wa elimu kwani unakuta maswali mengine hayajasahihishwa, maksi imekosewa kujumlishwa n.k.

Huyo headteacher kwanza hakuwa na sifa ya kuwa kwenye hiyo nafasi namfahamu elimu yake ya kuungaunga, anasurvive kwa rushwa na ushirikina. Pale Halmashauri amehonga sana na kuloga, wampeleke kule kwao Monduli awatendee huo ukatili watoto wa wamasai wenzake. Kwanza kwanini mwl. Mkuu akae kituo kimoja miaka mingi, anajisahau anaanza kuona shule ni ya kwake, anajiwekea kamati ya shule kwa maslahi yake. Serikali iheshimishe shule zake kwa kuweka viongozi bora. Ukiona mtumishi anakuwa katili na kutumia ushirikina chanzo chake ni hofu, huyo mmasai kinachomsumbua ni hofu ya hiyo nafasi ya ualimu mkuu, kwake yeye ni zaidi ya urais kwa hiyo yeyote atayeihatarisha anaweza ht kumwua ndio maana hachagui anaangukia ht vitoto vidogo hivyo vya chini ya miaka kumi. Mbona watoto wake anawapenda anawahamishahamisha shule? Mwambieni mama Salma Kikwete alituasa mtoto wa mwenzio ni mtoto wako, tena mwl. Mkuu amekabidhiwa watoto awalee. Aache huo upuuzi na upumbavu wake, serikali ifuatilie kujua ukweli na kuchukua hatua stahiki.
 
Huyo mwalimu ana roho ya kichawi, unacollude na walimu wengine kushambulia kitoto kidogo hivyo? Hiyo elimu ya kuungaunga imemfanya amekuwa so inferior ndio maana hutumia ndumba na ukatili. Hiyo shule inaonekana walimu wengi ni wa kike, wengine wapelekwe kule Tarime wanahitajika sana, Tanzania ni moja. Serikali ijaribu kubalance jinsi ya kike na kiume maeneo km hayo. Wanaume mara nyingi hawana makuu, mwanaume hawezi kuhangaika na kitoto kidogo km hicho kwa kumhisi mzazi wake, si amtafute huyo mzazi km ye ni bingwa? Huyo mwalimu mkuu ana laana, huwezi ht Mungu hawezi kumuadhibu mtu kwa makosa ya mtu mwingine. Shuleni tena shule ya msingi kuna siri gani, wahenga wanatuambia hakuna siri ya watu wawili sembuse shule yenye mamia au maelfu ya watu? Mtihani uliosahihishwa ni public document for public consumption, mtihani umesahihishwa watoto wamerudishiwa ni siri ya shule? Hatumii ht common sense? Mpaka aanze kuhangaika kutafuta mchawi? Basi atakuwa anajua kwamba wanafunzi husahihisha mitihani ya wanafunzi wengine, ye ndiyo katoa hayo maelekezo ili walimu wake wapate muda wa kuchati na simu zao au muda wa kupiga umbea. Kwa mtazamo wangu apumzishwe kwanza asiendelee kuwadhulumu watoto wa watanzania na aache kutumia kamati ya shule ktk mambo yasiyowahusu
 
Huyo headteacher kwanza hakuwa na sifa ya kuwa kwenye hiyo nafasi namfahamu elimu yake ya kuungaunga, anasurvive kwa rushwa na ushirikina. Pale Halmashauri amehonga sana na kuloga, wampeleke kule kwao Monduli awatendee huo ukatili watoto wa wamasai wenzake. Kwanza kwanini mwl. Mkuu akae kituo kimoja miaka mingi, anajisahau anaanza kuona shule ni ya kwake, anajiwekea kamati ya shule kwa maslahi yake. Serikali iheshimishe shule zake kwa kuweka viongozi bora. Ukiona mtumishi anakuwa katili na kutumia ushirikina chanzo chake ni hofu, huyo mmasai kinachomsumbua ni hofu ya hiyo nafasi ya ualimu mkuu, kwake yeye ni zaidi ya urais kwa hiyo yeyote atayeihatarisha anaweza ht kumwua ndio maana hachagui anaangukia ht vitoto vidogo hivyo vya chini ya miaka kumi. Mbona watoto wake anawapenda anawahamishahamisha shule? Mwambieni mama Salma Kikwete alituasa mtoto wa mwenzio ni mtoto wako, tena mwl. Mkuu amekabidhiwa watoto awalee. Aache huo upuuzi na upumbavu wake, serikali ifuatilie kujua ukweli na kuchukua hatua stahiki.
Unajua Mimi hapo ndo napochokaga yaaaan inakuwaje Mhe Rais,Wabunge na Madiwani wanachaguliwa kila baada ya Miaka 5 lakini watendaji wengine wanakaa kwenye vitu vyao kwa zaidi ya miaka 10 mpaka wanakuwa Sugu????

Why lakini,

Mwl Mkuu,Mkuu wa Shule anapaswa kukaa si zaidi ya Miaka mitatu aje mwingine!
 
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali.

Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya hovyo vilivyokuwa vinadhulumu haki za watoto wetu. Nililalamikia kitendo cha wanafunzi wa shule ya msingi Kimandafu kusahihishiana mitihani. Kiukweli ni kitendo cha hovyo kinachoharibu ubora wa elimu kwani unakuta maswali mengine hayajasahihishwa, maksi imekosewa kujumlishwa n.k.

Nashukuru serikali kesho yake walienda wadhibiti ubora kutokana na ukweli kuwa serikali yetu ni sikivu. Cha kushangaza baada ya taarifa ile na hatua iliyochukuliwa mwl. Mkuu badala ashukuru na kuwachukulia hatua walimu wahusika alianza kutafuta mwanafunzi/wanafunzi waliotoa taarifa ile, sasa kwa akili ya kawaida kuna mwanafunzi wa shule ya msingi anaweza kuja kuandika humu?

Ndipo akaanza kuwanyanyasa watoto wa familia moja akihisi mzazi wao ndiye aliyeandika thread niliyoandika mimi. Mtoto moja alikuwa anafanya usafi ktk ofisi yake akamwondoa ofisini kwake, sijui kuna priviledge gani kufanya usafi ofisi ya mwl. Mkuu, labda kumnyanyasa tu kisaikolojia.

Kuna mtoto mwingine mdogo ana kama miaka 8 huyu ndiyo amemnyanyasa kwa kushirikiana na walimu wake, mtoto mdogo kama huyu anaitwa ofisi ya walimu wote anahojiwa vitu vya kipuuzi, anasimangwa, mtoto ambaye hata hawezi kujieleza ukamwelewa.

Mara wamwambie apeleke shuleni karatasi zake za test zilizopita, mara wachunguze madaftari yake, mara maksi aliyopata 44/50 anarekodiwa 11/50. Huyu mtoto alikuja kuugua ghafla sijui ni unyanyasaji ule. Kumbuka ni mtoto wa miaka minane(8), just an innocent child. Kisa thread iliyoandika humu JF, kwanza huu mwl. Mkuu ajue yeye ni kiongozi, ni public figure Rais anaandikwa yeye asiandikwe akifanya uzembe ye ni nani?

Yule mama ni katili tena kwa watoto wadogo wa chini ya miaka 10. Habari kwamba wanafunzi wa darasa la 6 na la 7 kuwa wanasahihisha mitihani ya madarasa ya chini ni siri? Anachukulia wazazi wote kwamba hawawezi kupitia kazi za watoto wao na kugundua makosa? Hii ni dharau kwa wazazi.

Huyu mama hapendi watoto wadogo ushahidi ni vyakula anavyowapikia, watoto wanalishwa makukuru, makande yasiyokobolewa wakati shule za jirani zenye wanafunzi zaidi ya 1300 wanapikiwa vizuri, mahindi yanakobolewa, pili kuna mama moja mzungu anaitwa Birgita anasambazaga unga wa lishe, choroko na vitu vingine ktk baadhi ya shule zilizo ktk Halmashauri ya Wilaya ya Meru, huyu mwl. Mkuu wa shule ya msingi Kimandafu yeye hugawana vyakula hivi na walimu wenzake watoto wa watanzania wakilishwa makukuru, huu ni udhalimu na ukatili wa haki za hawa watoto.

Haitoshi kila mtihani shule hii ni wa kulipia, mitihani mingine kila mtihani unafikia sh. 4000. Mtihani wa juzi wa terminal umelipiwa, anatumia kamati ya shule kwa maslahi yake, dhana ya elimu bila malipo iko wapi?

Huyu na kamati yake wako juu ya Rais wa nchi hii? Afanye upuuzi na uzembe wake halafu anakuja kutishia watoto wetu wadogo waliodhulumiwa haki zao kwanini? Hii kiburi anaitoa wapi, pale Halmashauri nani analinda huu uovu, huu uchafu?

Huyu mama aache kutishia watoto wetu, atimize wajibu wake, hii ni shule ya umma siyo ya babake, na ingekuwa ya babake angewabembeleza watoto wetu, ila kwasababu ni ya serikali anaona watoto wale hawana haki.

Mh. Waziri watoto wanaosoma shule za serikali imefika sehemu wanachukuliwa kama raia daraja la pili, hii haikubaliki. Mh. Gwajima sina ugomvi wala kisa na huyo mwl na kimsingi hanifahamu, kama mtanzania na kama binadamu sipendi uonevu, unyanyasaji, ukatili hasa kwa watoto wadogo malaika tu ambao bwana wetu Yesu kristo alisema acheni watoto wadodo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Sasa anatokea mtu moja kwa ushetani wake anawanyanyasa, anawatesa kisaikolojia, ingilia kati mheshimiwa uwasaidie watoto wetu dhidi ya madhila haya. Kuna shule ya jirani, yule mwl. Mkuu wake anawapenda wanafunzi wake, watoto chakula ni kizuri, msaada mama Birgita wote wanapewa watoto hakuna mwalimu anausogelea.

Juzi kawaelekeza walimu wake kuwatendea haki wanafunzi hasa ktk mitihani yao ya wiki iliyopita. Serikali iwe inafanya vetting ya kutosha mwl. Mkuu wa shule ya msingi sifa kuu iwe upendo kwa watoto hasa wadogo maana siku hizi wanapelekwa watoto mpaka wa miaka 3, mtoto km huyu anaweza kula makande hayajakobolewa na akashiba?

Dkt. Gwajima D
Mheshimiwa kuna ujumbe wako hapa.
 
Dkt. Gwajima D hujawahi kutuangusha kwenye suala linalohusu watoto, walimu wa namna hii washughulikiwe wanaharibu kizazi kijacho, watasabaisha baadae tuje kua na viongozi wakatili, wababa nawamama wakatili, watumisha wa umma wasiokua na upendo, ashughulikiwe haraka yeye pamoja na walimu wenzake
 
Unajua Mimi hapo ndo napochokaga yaaaan inakuwaje Mhe Rais,Wabunge na Madiwani wanachaguliwa kila baada ya Miaka 5 lakini watendaji wengine wanakaa kwenye vitu vyao kwa zaidi ya miaka 10 mpaka wanakuwa Sugu????

Why lakini,

Mwl Mkuu,Mkuu wa Shule anapaswa kukaa si zaidi ya Miaka mitatu aje mwingine!
Serikali yetu ingeacha kupambana na upinzani, ipambane na hawa watumishi wabobu japo kwa.mwaka mmoja tu, tungeona mabadiliko
 
Huyo headteacher kwanza hakuwa na sifa ya kuwa kwenye hiyo nafasi namfahamu elimu yake ya kuungaunga, anasurvive kwa rushwa na ushirikina. Pale Halmashauri amehonga sana na kuloga, wampeleke kule kwao Monduli awatendee huo ukatili watoto wa wamasai wenzake. Kwanza kwanini mwl. Mkuu akae kituo kimoja miaka mingi, anajisahau anaanza kuona shule ni ya kwake, anajiwekea kamati ya shule kwa maslahi yake. Serikali iheshimishe shule zake kwa kuweka viongozi bora. Ukiona mtumishi anakuwa katili na kutumia ushirikina chanzo chake ni hofu, huyo mmasai kinachomsumbua ni hofu ya hiyo nafasi ya ualimu mkuu, kwake yeye ni zaidi ya urais kwa hiyo yeyote atayeihatarisha anaweza ht kumwua ndio maana hachagui anaangukia ht vitoto vidogo hivyo vya chini ya miaka kumi. Mbona watoto wake anawapenda anawahamishahamisha shule? Mwambieni mama Salma Kikwete alituasa mtoto wa mwenzio ni mtoto wako, tena mwl. Mkuu amekabidhiwa watoto awalee. Aache huo upuuzi na upumbavu wake, serikali ifuatilie kujua ukweli na kuchukua hatua stahiki.
Huyo mwalimu unayemchafua hapa ni mtu mwema sana anapokea maoni na pia anapenda majadiliano sioni sababu ya wewe kuamua kumchafua.Kama unakinyongo nae wewe useme tu maana si kwa kumuandama huku.Kwa shule inayopambana kudhibiti unyanyasaji na ukatili kwa watoto sio rahisi kuweza kumnyanyasa mwanafunzi .na kuhusu suala la chakula sisi wazazi ndo tuliamua watoto wale hivyo na ndo chakula tunachochangia.Embu kuwa na utu hata kidogo nenda kwenye Ile uone yaliyotendeka kama kuna vitu haviko sawa unaweza kuhoji na kutoa ushauri wako .Walimu wanafanya kazi acha kuwavunja moyo.
 
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali.

Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya hovyo vilivyokuwa vinadhulumu haki za watoto wetu. Nililalamikia kitendo cha wanafunzi wa shule ya msingi Kimandafu kusahihishiana mitihani. Kiukweli ni kitendo cha hovyo kinachoharibu ubora wa elimu kwani unakuta maswali mengine hayajasahihishwa, maksi imekosewa kujumlishwa n.k.

Nashukuru serikali kesho yake walienda wadhibiti ubora kutokana na ukweli kuwa serikali yetu ni sikivu. Cha kushangaza baada ya taarifa ile na hatua iliyochukuliwa mwl. Mkuu badala ashukuru na kuwachukulia hatua walimu wahusika alianza kutafuta mwanafunzi/wanafunzi waliotoa taarifa ile, sasa kwa akili ya kawaida kuna mwanafunzi wa shule ya msingi anaweza kuja kuandika humu?

Ndipo akaanza kuwanyanyasa watoto wa familia moja akihisi mzazi wao ndiye aliyeandika thread niliyoandika mimi. Mtoto moja alikuwa anafanya usafi ktk ofisi yake akamwondoa ofisini kwake, sijui kuna priviledge gani kufanya usafi ofisi ya mwl. Mkuu, labda kumnyanyasa tu kisaikolojia.

Kuna mtoto mwingine mdogo ana kama miaka 8 huyu ndiyo amemnyanyasa kwa kushirikiana na walimu wake, mtoto mdogo kama huyu anaitwa ofisi ya walimu wote anahojiwa vitu vya kipuuzi, anasimangwa, mtoto ambaye hata hawezi kujieleza ukamwelewa.

Mara wamwambie apeleke shuleni karatasi zake za test zilizopita, mara wachunguze madaftari yake, mara maksi aliyopata 44/50 anarekodiwa 11/50. Huyu mtoto alikuja kuugua ghafla sijui ni unyanyasaji ule. Kumbuka ni mtoto wa miaka minane(8), just an innocent child. Kisa thread iliyoandika humu JF, kwanza huu mwl. Mkuu ajue yeye ni kiongozi, ni public figure Rais anaandikwa yeye asiandikwe akifanya uzembe ye ni nani?

Yule mama ni katili tena kwa watoto wadogo wa chini ya miaka 10. Habari kwamba wanafunzi wa darasa la 6 na la 7 kuwa wanasahihisha mitihani ya madarasa ya chini ni siri? Anachukulia wazazi wote kwamba hawawezi kupitia kazi za watoto wao na kugundua makosa? Hii ni dharau kwa wazazi.

Huyu mama hapendi watoto wadogo ushahidi ni vyakula anavyowapikia, watoto wanalishwa makukuru, makande yasiyokobolewa wakati shule za jirani zenye wanafunzi zaidi ya 1300 wanapikiwa vizuri, mahindi yanakobolewa, pili kuna mama moja mzungu anaitwa Birgita anasambazaga unga wa lishe, choroko na vitu vingine ktk baadhi ya shule zilizo ktk Halmashauri ya Wilaya ya Meru, huyu mwl. Mkuu wa shule ya msingi Kimandafu yeye hugawana vyakula hivi na walimu wenzake watoto wa watanzania wakilishwa makukuru, huu ni udhalimu na ukatili wa haki za hawa watoto.

Haitoshi kila mtihani shule hii ni wa kulipia, mitihani mingine kila mtihani unafikia sh. 4000. Mtihani wa juzi wa terminal umelipiwa, anatumia kamati ya shule kwa maslahi yake, dhana ya elimu bila malipo iko wapi?

Huyu na kamati yake wako juu ya Rais wa nchi hii? Afanye upuuzi na uzembe wake halafu anakuja kutishia watoto wetu wadogo waliodhulumiwa haki zao kwanini? Hii kiburi anaitoa wapi, pale Halmashauri nani analinda huu uovu, huu uchafu?

Huyu mama aache kutishia watoto wetu, atimize wajibu wake, hii ni shule ya umma siyo ya babake, na ingekuwa ya babake angewabembeleza watoto wetu, ila kwasababu ni ya serikali anaona watoto wale hawana haki.

Mh. Waziri watoto wanaosoma shule za serikali imefika sehemu wanachukuliwa kama raia daraja la pili, hii haikubaliki. Mh. Gwajima sina ugomvi wala kisa na huyo mwl na kimsingi hanifahamu, kama mtanzania na kama binadamu sipendi uonevu, unyanyasaji, ukatili hasa kwa watoto wadogo malaika tu ambao bwana wetu Yesu kristo alisema acheni watoto wadodo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Sasa anatokea mtu moja kwa ushetani wake anawanyanyasa, anawatesa kisaikolojia, ingilia kati mheshimiwa uwasaidie watoto wetu dhidi ya madhila haya. Kuna shule ya jirani, yule mwl. Mkuu wake anawapenda wanafunzi wake, watoto chakula ni kizuri, msaada mama Birgita wote wanapewa watoto hakuna mwalimu anausogelea.

Juzi kawaelekeza walimu wake kuwatendea haki wanafunzi hasa ktk mitihani yao ya wiki iliyopita. Serikali iwe inafanya vetting ya kutosha mwl. Mkuu wa shule ya msingi sifa kuu iwe upendo kwa watoto hasa wadogo maana siku hizi wanapelekwa watoto mpaka wa miaka 3, mtoto km huyu anaweza kula makande hayajakobolewa na akashiba?
Hbr za jioni. Nimesoma taarifa hii, ngoja niratibu ufuatiliaji ufanyike kwa kina zaidi. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu siku zote kwenye kuendelea kuibua changamoto mbalimbali za kijamii na kitaasis zenye athari kwa jamii na makundi yake hususan yale maalum. Tuendelee kushirikiana, shukrani.
 
Dkt. Gwajima D hujawahi kutuangusha kwenye suala linalohusu watoto, walimu wa namna hii washughulikiwe wanaharibu kizazi kijacho, watasabaisha baadae tuje kua na viongozi wakatili, wababa nawamama wakatili, watumisha wa umma wasiokua na upendo, ashughulikiwe haraka yeye pamoja na walimu wenzake
Nafuatilia, shukrani, ahsanteni kwa ushirikiano
 
Hbr za jioni. Nimesoma taarifa hii, ngoja niratibu ufuatiliaji ufanyike kwa kina zaidi. Ahsanteni kwa ushirikiano wenu siku zote kwenye kuendelea kuibua changamoto mbalimbali za kijamii na kitaasis zenye athari kwa jamii na makundi yake hususan yale maalum. Tuendelee kushirikiana, shukrani.
Ahsante mama ubarikiwe, km kuna utahitaji ushirikiano wowote tujulishe
 
Ila muda mwingine wazazi wanatakiwa kuwa na hekima na busara, wazazi wanatakiwa kufahamu kwamba shule nyingi za msingi na sekondari hazina walimu wa kutosha na kwa kweli walimu hawa wanajituma kugawana vipindi na kufundisha. Changamoto inakuja kipindi cha mitihani matokeo yanahitajika ili mzazi apate taarifa ya Maendeleo ya taaluma ya mwanae, hapa mwalimu anatumia njia ya kuwatumia wanafunzi wa darasa jingine kuwagawia mitihani na kuandika mwongozo wa usahihishaji kwenye ubao ukizingatia majibu yenyewe hayazidi tarakimu nne , maneno manne kwa shule za msingi. Wazazi acheni kujenga chuki kwa walimu
 
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali.

Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya hovyo vilivyokuwa vinadhulumu haki za watoto wetu. Nililalamikia kitendo cha wanafunzi wa shule ya msingi Kimandafu kusahihishiana mitihani. Kiukweli ni kitendo cha hovyo kinachoharibu ubora wa elimu kwani unakuta maswali mengine hayajasahihishwa, maksi imekosewa kujumlishwa n.k.

Nashukuru serikali kesho yake walienda wadhibiti ubora kutokana na ukweli kuwa serikali yetu ni sikivu. Cha kushangaza baada ya taarifa ile na hatua iliyochukuliwa mwl. Mkuu badala ashukuru na kuwachukulia hatua walimu wahusika alianza kutafuta mwanafunzi/wanafunzi waliotoa taarifa ile, sasa kwa akili ya kawaida kuna mwanafunzi wa shule ya msingi anaweza kuja kuandika humu?

Ndipo akaanza kuwanyanyasa watoto wa familia moja akihisi mzazi wao ndiye aliyeandika thread niliyoandika mimi. Mtoto moja alikuwa anafanya usafi ktk ofisi yake akamwondoa ofisini kwake, sijui kuna priviledge gani kufanya usafi ofisi ya mwl. Mkuu, labda kumnyanyasa tu kisaikolojia.

Kuna mtoto mwingine mdogo ana kama miaka 8 huyu ndiyo amemnyanyasa kwa kushirikiana na walimu wake, mtoto mdogo kama huyu anaitwa ofisi ya walimu wote anahojiwa vitu vya kipuuzi, anasimangwa, mtoto ambaye hata hawezi kujieleza ukamwelewa.

Mara wamwambie apeleke shuleni karatasi zake za test zilizopita, mara wachunguze madaftari yake, mara maksi aliyopata 44/50 anarekodiwa 11/50. Huyu mtoto alikuja kuugua ghafla sijui ni unyanyasaji ule. Kumbuka ni mtoto wa miaka minane(8), just an innocent child. Kisa thread iliyoandika humu JF, kwanza huu mwl. Mkuu ajue yeye ni kiongozi, ni public figure Rais anaandikwa yeye asiandikwe akifanya uzembe ye ni nani?

Yule mama ni katili tena kwa watoto wadogo wa chini ya miaka 10. Habari kwamba wanafunzi wa darasa la 6 na la 7 kuwa wanasahihisha mitihani ya madarasa ya chini ni siri? Anachukulia wazazi wote kwamba hawawezi kupitia kazi za watoto wao na kugundua makosa? Hii ni dharau kwa wazazi.

Huyu mama hapendi watoto wadogo ushahidi ni vyakula anavyowapikia, watoto wanalishwa makukuru, makande yasiyokobolewa wakati shule za jirani zenye wanafunzi zaidi ya 1300 wanapikiwa vizuri, mahindi yanakobolewa, pili kuna mama moja mzungu anaitwa Birgita anasambazaga unga wa lishe, choroko na vitu vingine ktk baadhi ya shule zilizo ktk Halmashauri ya Wilaya ya Meru, huyu mwl. Mkuu wa shule ya msingi Kimandafu yeye hugawana vyakula hivi na walimu wenzake watoto wa watanzania wakilishwa makukuru, huu ni udhalimu na ukatili wa haki za hawa watoto.

Haitoshi kila mtihani shule hii ni wa kulipia, mitihani mingine kila mtihani unafikia sh. 4000. Mtihani wa juzi wa terminal umelipiwa, anatumia kamati ya shule kwa maslahi yake, dhana ya elimu bila malipo iko wapi?

Huyu na kamati yake wako juu ya Rais wa nchi hii? Afanye upuuzi na uzembe wake halafu anakuja kutishia watoto wetu wadogo waliodhulumiwa haki zao kwanini? Hii kiburi anaitoa wapi, pale Halmashauri nani analinda huu uovu, huu uchafu?

Huyu mama aache kutishia watoto wetu, atimize wajibu wake, hii ni shule ya umma siyo ya babake, na ingekuwa ya babake angewabembeleza watoto wetu, ila kwasababu ni ya serikali anaona watoto wale hawana haki.

Mh. Waziri watoto wanaosoma shule za serikali imefika sehemu wanachukuliwa kama raia daraja la pili, hii haikubaliki. Mh. Gwajima sina ugomvi wala kisa na huyo mwl na kimsingi hanifahamu, kama mtanzania na kama binadamu sipendi uonevu, unyanyasaji, ukatili hasa kwa watoto wadogo malaika tu ambao bwana wetu Yesu kristo alisema acheni watoto wadodo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Sasa anatokea mtu moja kwa ushetani wake anawanyanyasa, anawatesa kisaikolojia, ingilia kati mheshimiwa uwasaidie watoto wetu dhidi ya madhila haya. Kuna shule ya jirani, yule mwl. Mkuu wake anawapenda wanafunzi wake, watoto chakula ni kizuri, msaada mama Birgita wote wanapewa watoto hakuna mwalimu anausogelea.

Juzi kawaelekeza walimu wake kuwatendea haki wanafunzi hasa ktk mitihani yao ya wiki iliyopita. Serikali iwe inafanya vetting ya kutosha mwl. Mkuu wa shule ya msingi sifa kuu iwe upendo kwa watoto hasa wadogo maana siku hizi wanapelekwa watoto mpaka wa miaka 3, mtoto km huyu anaweza kula makande hayajakobolewa na akashiba?
Naipongeza CCM na kiongozi wao kwa maendeleo haya. Ngoja wakimaliza kumchamba Gwajima watakuja kuonana na huyo mkuu wa shule.

Kwa dhati kabisa ninakupongeza sana kwa kutoa taarifa hizi ambazo huenda zikawanuru watoto wetu hawa. Lkn pia nakuomba uendelee kuzileta mkuu.

Sasa nije kwenye suala la kusahihishiana kazi zao hawa Wanafunzi. Hili jamba ni hatari sana kwani kupendeleana kuna tawala lkn pia Mwanafunzi hana uwezo wa kufanya marekebisho ( kukosoa alichoandika mwenzie) zaidi ya kuweka alama ya vema au mkasi.

Lkn ukiangalia kwa umakini unaweza kuta hapo shuleni Mwalimu mmoja ana hudumia Wanafunzi 300 kwa siku. Namaanisha kuwa Walimu ni wachache,Walimu wengi wako kitaa na bahasha za kaki mpaka zimechakaa.

Pamoja na hayo yote unyanyasaji wanaoendelea nao Walimu kwa Wanafunzi siyo sawa,upingwe na kila Mtanganyika,haufahi.
 
Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali.

Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya hovyo vilivyokuwa vinadhulumu haki za watoto wetu. Nililalamikia kitendo cha wanafunzi wa shule ya msingi Kimandafu kusahihishiana mitihani. Kiukweli ni kitendo cha hovyo kinachoharibu ubora wa elimu kwani unakuta maswali mengine hayajasahihishwa, maksi imekosewa kujumlishwa n.k.

Nashukuru serikali kesho yake walienda wadhibiti ubora kutokana na ukweli kuwa serikali yetu ni sikivu. Cha kushangaza baada ya taarifa ile na hatua iliyochukuliwa mwl. Mkuu badala ashukuru na kuwachukulia hatua walimu wahusika alianza kutafuta mwanafunzi/wanafunzi waliotoa taarifa ile, sasa kwa akili ya kawaida kuna mwanafunzi wa shule ya msingi anaweza kuja kuandika humu?

Ndipo akaanza kuwanyanyasa watoto wa familia moja akihisi mzazi wao ndiye aliyeandika thread niliyoandika mimi. Mtoto moja alikuwa anafanya usafi ktk ofisi yake akamwondoa ofisini kwake, sijui kuna priviledge gani kufanya usafi ofisi ya mwl. Mkuu, labda kumnyanyasa tu kisaikolojia.

Kuna mtoto mwingine mdogo ana kama miaka 8 huyu ndiyo amemnyanyasa kwa kushirikiana na walimu wake, mtoto mdogo kama huyu anaitwa ofisi ya walimu wote anahojiwa vitu vya kipuuzi, anasimangwa, mtoto ambaye hata hawezi kujieleza ukamwelewa.

Mara wamwambie apeleke shuleni karatasi zake za test zilizopita, mara wachunguze madaftari yake, mara maksi aliyopata 44/50 anarekodiwa 11/50. Huyu mtoto alikuja kuugua ghafla sijui ni unyanyasaji ule. Kumbuka ni mtoto wa miaka minane(8), just an innocent child. Kisa thread iliyoandika humu JF, kwanza huu mwl. Mkuu ajue yeye ni kiongozi, ni public figure Rais anaandikwa yeye asiandikwe akifanya uzembe ye ni nani?

Yule mama ni katili tena kwa watoto wadogo wa chini ya miaka 10. Habari kwamba wanafunzi wa darasa la 6 na la 7 kuwa wanasahihisha mitihani ya madarasa ya chini ni siri? Anachukulia wazazi wote kwamba hawawezi kupitia kazi za watoto wao na kugundua makosa? Hii ni dharau kwa wazazi.

Huyu mama hapendi watoto wadogo ushahidi ni vyakula anavyowapikia, watoto wanalishwa makukuru, makande yasiyokobolewa wakati shule za jirani zenye wanafunzi zaidi ya 1300 wanapikiwa vizuri, mahindi yanakobolewa, pili kuna mama moja mzungu anaitwa Birgita anasambazaga unga wa lishe, choroko na vitu vingine ktk baadhi ya shule zilizo ktk Halmashauri ya Wilaya ya Meru, huyu mwl. Mkuu wa shule ya msingi Kimandafu yeye hugawana vyakula hivi na walimu wenzake watoto wa watanzania wakilishwa makukuru, huu ni udhalimu na ukatili wa haki za hawa watoto.

Haitoshi kila mtihani shule hii ni wa kulipia, mitihani mingine kila mtihani unafikia sh. 4000. Mtihani wa juzi wa terminal umelipiwa, anatumia kamati ya shule kwa maslahi yake, dhana ya elimu bila malipo iko wapi?

Huyu na kamati yake wako juu ya Rais wa nchi hii? Afanye upuuzi na uzembe wake halafu anakuja kutishia watoto wetu wadogo waliodhulumiwa haki zao kwanini? Hii kiburi anaitoa wapi, pale Halmashauri nani analinda huu uovu, huu uchafu?

Huyu mama aache kutishia watoto wetu, atimize wajibu wake, hii ni shule ya umma siyo ya babake, na ingekuwa ya babake angewabembeleza watoto wetu, ila kwasababu ni ya serikali anaona watoto wale hawana haki.

Mh. Waziri watoto wanaosoma shule za serikali imefika sehemu wanachukuliwa kama raia daraja la pili, hii haikubaliki. Mh. Gwajima sina ugomvi wala kisa na huyo mwl na kimsingi hanifahamu, kama mtanzania na kama binadamu sipendi uonevu, unyanyasaji, ukatili hasa kwa watoto wadogo malaika tu ambao bwana wetu Yesu kristo alisema acheni watoto wadodo waje kwangu maana ufalme wa Mungu ni wao.

Sasa anatokea mtu moja kwa ushetani wake anawanyanyasa, anawatesa kisaikolojia, ingilia kati mheshimiwa uwasaidie watoto wetu dhidi ya madhila haya. Kuna shule ya jirani, yule mwl. Mkuu wake anawapenda wanafunzi wake, watoto chakula ni kizuri, msaada mama Birgita wote wanapewa watoto hakuna mwalimu anausogelea.

Juzi kawaelekeza walimu wake kuwatendea haki wanafunzi hasa ktk mitihani yao ya wiki iliyopita. Serikali iwe inafanya vetting ya kutosha mwl. Mkuu wa shule ya msingi sifa kuu iwe upendo kwa watoto hasa wadogo maana siku hizi wanapelekwa watoto mpaka wa miaka 3, mtoto km huyu anaweza kula makande hayajakobolewa na akashiba?
Mkuu...humu wamejaa walimu tupu,,subiria matusi
 
Ila wazazi wengi ni wapumbavu sana wasiofuatilia kabisa maendeleo ya watoto wao. Vikao hawahudhurii
 
Back
Top Bottom