Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,971
- 6,670
Yule waziri alikuwa implicated,directly or indirectly kwenye kashfa kubwa. Ni sawa kwa yule waziri kuongea kuhusu washamba? He must stop it. Period. We are not playing games.wewe nawe ni mshamba
Yaani hata Mimi nimemshangaa huyu mwamba. Katisha sanaMtoa mada,
Kitendo Cha wewe kufananisha gari ya serikali na Simu ya mkononi Ni USHAMBA PRO MAX[emoji4]
NyaniAlikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema.
Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza maadili mema ya Taifa,siyo hao watu wanaotaka kufanya mambo ya "kisasa".
Fikiria inakuwaje, kwa mfano,kama umeiweka simu yako pahali, halafu ghafla imetoweka,na Ina mashaka kwamba imeibwa.
Unasikiliza kwa makini kusikia kama kuna mtu ataongea kuhusu washamba.
Ndivyo kama ilivyo kwa huyu Waziri Biteko. Kuongea kwake kuhusu washamba kunaleta mashaka. Hizi ni ambiguous statements at best ambazo zinaharibu morals za watu
Tena ushamba wake tuliwahi kuhushuhudia wakati wa utawala wa RomaMtoa mada,
Kitendo Cha wewe kufananisha gari ya serikali na Simu ya mkononi Ni USHAMBA PRO MAX[emoji4]
Sijawahi fika Mzumbe, hivi hawana majengo? Basi hiyo nayo kaliIla utani pembeni, Mzumbe kwa majengo haina tofauti na kambi ya Nyarugusu
Na wewe inaonekana ni mshambaAlikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema.
Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza maadili mema ya Taifa,siyo hao watu wanaotaka kufanya mambo ya "kisasa".
Fikiria inakuwaje, kwa mfano,kama umeiweka simu yako pahali, halafu ghafla imetoweka,na Ina mashaka kwamba imeibwa.
Unasikiliza kwa makini kusikia kama kuna mtu ataongea kuhusu washamba.
Ndivyo kama ilivyo kwa huyu Waziri Biteko. Kuongea kwake kuhusu washamba kunaleta mashaka. Hizi ni ambiguous statements at best ambazo zinaharibu morals za watu
Ingekuwa Mama Samia alisomea Udsm usingemdharau hata akitukana mzumbe??Biteko tangu aitukane Chuo Kikuu Mzumbe ambako alisoma Mama Samia nilishamdharau
Mudawote acha wanga,kwani akisoma Samia ndiyo majengo yana badilika.Biteko tangu aitukane Chuo Kikuu Mzumbe ambako alisoma Mama Samia nilishamdharau
Chief kamba yako fupi eeh?!Yule waziri alikuwa implicated,directly or indirectly kwenye kashfa kubwa. Ni sawa kwa yule waziri kuongea kuhusu washamba? He must stop it. Period. We are not playing games.
Umeelewa mada kweli mkuu ?Mambo ya ajabu kabisa haya Waziri wa Nchi maskini toka dunia ya tatu inayoongoza kwa mikopo akililia gari.