Waziri Bashe kushindana na Serikali yake

Waziri Bashe kushindana na Serikali yake

Bak byzo I.T

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2014
Posts
266
Reaction score
125
Wakati wizara ya kilimo ikiongezewa bajeti

Na Genius Bashe akipambana uku na kule kuhakikisha taifa halikosi chakula

Na Kilimo kuwa biashara Vijana wakimbilie fursa.

SERIKALI YAKE IMEKUWA KINYUME NAE

Kwa kuongeza makampuni ya Ku-Bet (Vyombo vya Habari ndio Vinara)
Kwa serikali haiajiri au inatoa fursa chache za ajira lakini wanaenda kwenye Maafari ya wahitimu kila mwaka na wanaona idadi ya wahitimu wa Chuo.

Vijana wengi wamekuwa walevi wa kamali kiasi kwamba wameacha kufanya kazi yoyote.

Kwa kuongeza Pombe zenye vilevi asilimia nyingi kwa bei ya chini ina asili ya Viroba. Imepelekea vijana kuwa walevi adi muda wa kazi na wengine kupoteza maisha kabisa.

Serikali inafurahia vyanzo vya mapato.

Wamachinga kupangwa hadi nje ya miji Hawa wasomi walioamua kujitafutia maisha kwa biashara ndogondogo baada ya kukosa ajira wameamua kujiingiza kwenye ulevi na kubet

BASHE SHIRIKISHA WIZARA HUSIKA ZIKUSAIDIE KWA KUONDOA / KUPUNGUZA HIZO BURUDANI

KUHAMASISHA VIJANA KURUDI SHAMBANI

KILIMO BIASHARA
 
Back
Top Bottom