Waziri Bashe fuatilia Fursa ya kuiuzia Marekani Chakula kwa ajili ya Msaada huko Gaza, Blinken amekiri hali ni mbaya sana!

Wenzetu Kenya wamepata connection Toka Marekani na sasa Wamepeleka Mapolisi Haiti na kujiimarisha Kiuchumi

Nakushauri Bashe wasiliana na Waziri Anthony Blinken wa USA kuna fursa ya kupeleka mazao ya Kilimo

Kwa hali waliyonayo Wapalestina kwa sasa wanahitaji zaidi Nafaka

Ni hilo tu kijana wangu Hussein

Nawasilisha
Bora msaada upelekwe kwa waafrika wenzetu wa Haiti kuliko hao wengine .
 
Unazungumzia utaifa ama asili ya mtu?
Hata hapa Tanzania hakuna msomali ni balozi wa nyumba 10.

Mtu kuwa mzungu, arab au Indian hakumfanyi asiwe Mtanzania.
Kwanini na wewe usiende kuwa Mbunge Somalia au India? tukihoji mnasema wabaguzi wao wakihoji msaema ni kero za muungano sijui
 
Kwanini na wewe usiende kuwa Mbunge Somalia au India? tukihoji mnasema wabaguzi wao wakihoji msaema ni kero za muungano sijui
Ndizo fikra za kibaguzi hizi, mi sina haja ya kwenda India na pia si nwanasiasa.

US imeziacha nchi nyingi kimaendeleo ikiwemo Russia, China n.k, ndilo taifa utamaduni wake unauzika zaidi duniani, nchi kama Canada na wao sasa hivi wana skilled immigrants policy, hilo US waliliona karne kadhaa nyuma hii dunia Mungu kaumba jamii tofauti zenye vipaji tofauti na uwezo tofauti.

Nchi zenye ubaguzi duniani si chochote si lolote.
 
Tuwape chakula watu walio muua kijana wetu kiharamia na kuutupa mwili wake jalalani? Demn shit
 
Ndizo fikra za kibaguzi hizi, mi sina haja ya kwenda India na pia si nwanasiasa.

US imeziacha nchi nyingi kimaendeleo ikiwemo Russia, China n.k, ndilo taifa utamaduni wake unauzika zaidi duniani, nchi kama Canada na wao sasa hivi wana skilled immigrants policy, hilo US waliliona karne kadhaa nyuma hii dunia Mungu kaumba jamii tofauti zenye vipaji tofauti na uwezo tofauti.

Nchi zenye ubaguzi duniani si chochote si lolote.
Mbona India na China ni wabaguzi na ni matajiri haswa?
 
Back
Top Bottom