The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Ni waziri wa ardhi ndugu Lukuvi leo amepinga majibu ya naibu wake bi Angelina Mabula ambae katika kujbu swali la mbunge alie taka kujua ni lini serikali italeta bungeni sera ya kusaidia wanawake kuhusu mambo ya ardhi, naibu huyo alijibu kua sera hiyo iko katika hatua za mwisho na italetwa bungeni hivi karibuni. Ndipo akasimama waziri na kukanusha kua serikali hua haileti sera bungeni bali huleta sheria.