Waziri asema iPhone 14 lazima ipatikane Urusi

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,502
Waziri wa biashara wa Urusi asema iPhone 14 zitapatikana nchini humo Licha ya kampuni ya Apple kusitisha uuzwaji wa bidhaa zake kwenye nchi hiyo.

Waziri huyo asema wafanyabiashara wataruhusiwa kuingiza bidhaa hizo Kwa kuzinunua toka nchi nyingine kisha kuja kuuzwa Urusi.

Seeking Alpha
 
Super power ameshindwa kuanzisha iPhone zake bado anangangania za Marekani, si tuliambiwa na kuaminishwa urusi ni mabingwa wa technologia, kwisha kabisa urusi..,
 
Hao warussia ni silaha tu, mambo mengine ni weupe sana, nakumbuka enzi za USSR walikuwa wakikosa bidhaa muhimu kama nguo, mkate na hata toilet paper πŸ“œ πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…