CCM wana hali mbaya sana,wamakonde wame ikataa ccm,wasukuma nao ndio hao wame anza,waha,wachaga,wameru,wanyaki,wahehe,wasingida,nao hawa itaki daah 2015 ccm chaliii.
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amenusurika kupokea kichapo toka kwa wakulima wa pamba mkoani Shinyanga[?] . Kadhia hiyo ilifuatia majibu yasiyoridhisha ya Zambi kwa wakulima hao juu ya pembejeo na masoko ya pamba.