Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi amenusurika kupokea kichapo toka kwa wakulima wa pamba mkoani Shinyanga[?] . Kadhia hiyo ilifuatia majibu yasiyoridhisha ya Zambi kwa wakulima hao juu ya pembejeo na masoko ya pamba.
Chanzo: Mtanzania
So baada ya kumpiga ndio wangepata soko la pamba! or? wajinga tu.
apigwe tu.tumechoka sie.hana lolote
Kipindi cha bla bla kimekwisha watu wanajua ukweli. Ccm amkeni. Otherwise!!!!!!!!
slaa akipigwa unatoa povu humu