...hapa kuna tatizo la upeo. Waziri wa Tz ni mTZ kama mimi na wewe, ambaye aghalabu aligombea ubunge (jimboni au viti maalum), akapata, akaingia bungeni, akateuliwa na rais kushika dhamana ya wizara fulani. So, ktk mahusiano, waziri mtongozaji ni sawa kabisa na kidume chochote mtaani kwako ...tofauti POSHO tu. Kama upo 18+ task yako ni NDIO/HAPANA. Kila jibu lina faida/hasara.