hivi kuna la ajabu mwanamke kutongozwa? hayo si ni maisha ya kila siku?
sasa kama kila siku ukitongozwa unakuja kumwaga hapa si thread zote hapa MMU zingekuwa za kutongozwa? au sababu mtongozaji ni waziri? kwani yeye si mwanaume kama wengine? after all leo waziri, kesho na kadhalika, what is a big deal? huu ni ulimbukeni