Waziri ameapa katu Tanzania hawataiga Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,529
47,777
Huwa nikisoma taarifa za wabongo nacheka sana, yaani ndugu zetu wa kusini mwa mpaka wetu wanaishi wakirushiana vijembe kuhusu Kenya. Mara hatutaiga Kenya, tutaishinda Kenya, Kenya ni kainchi kadogo, Kenya lazima tuwashinde n.k.

Yaani wakisikia jina la Kenya wanatokwa na povu hadi inashangaza.

Hapa waziri anaapa hawataiga Kenya wala taifa lolote majirani, wakati huo huo wanaagiza wataalam kutokea Rwanda na kufuata ushauri wa huko kununua ndege. Kituko full...

================================================

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema Tanzania siyo koloni la Kenya kwamba kila mipango yake ya maendeleo itegemee Taifa hilo.
“Kenya siyo sehemu ya Tanzania na sisi (Tanzania) si koloni la Kenya. Kenya ni nchi tofauti, Uganda ni nchi tofauti, Uingereza ni nchi tofauti,” amesema Profesa Maghembe.

Profesa Maghembe ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya mawakala wa utalii wanaodai hatua ya Serikali kutoza Vat kwenye utalii kutaathiri sekta hiyo na kwamba, watalii wengi wamesitisha safari zao na wengi wameamua kwenda Kenya kwa vile nchi hiyo imeondoa kodi hiyo.
“Hizi ni kodi ndani ya Tanzania. Kenya ina mazingira tofauti kabisa na Tanzania. Hatuwezi kupanga kodi kwa maendeleo ya nchi yetu tukiwatazama wao,” amesema.

Tanzania siyo koloni la Kenya-Maghembe
 
Nimeifungua hii thread nilidhani ina habari mpya, kumbe unatukumbusha alichosema Waziri
 
Signature yako inaleta umakini fulani...

Wana East Africa tusipende kubezana bala ya kushirikiana.Kubezana kunasababisha kubandikiza chuki zisizo na maana. Hawa wanaoongea ni wanasiasa amabo kazi na ajira yao ni kusema uwongo mbele za watu wakati huohuo wakifanya vitu vya ovyo.
 
Watu wamekua wakihoji sana juu ya iyo vat kwa watalii wakihofia kupoteza idadi ya watalii. ....ata hivyo nadhani kawajibu vizuri....nchi inapoamua kufanya jambo kwa maslah ya umma haitakiwi kuwaza wengine wanafanya nn as long sio kitu kipya....iyo vat embu tuone jee itapunguza hao wageni kwa kiasi gani
 
Huwa nikisoma taarifa za wabongo nacheka sana, yaani ndugu zetu wa kusini mwa mpaka wetu wanaishi wakirushiana vijembe kuhusu Kenya. Mara hatutaiga Kenya, tutaishinda Kenya, Kenya ni kainchi kadogo, Kenya lazima tuwashinde n.k.

Yaani wakisikia jina la Kenya wanatokwa na povu hadi inashangaza.

Hapa waziri anaapa hawataiga Kenya wala taifa lolote majirani, wakati huo huo wanaagiza wataalam kutokea Rwanda na kufuata ushauri wa huko kununua ndege. Kituko full...

================================================

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amesema Tanzania siyo koloni la Kenya kwamba kila mipango yake ya maendeleo itegemee Taifa hilo.
“Kenya siyo sehemu ya Tanzania na sisi (Tanzania) si koloni la Kenya. Kenya ni nchi tofauti, Uganda ni nchi tofauti, Uingereza ni nchi tofauti,” amesema Profesa Maghembe.

Profesa Maghembe ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko ya mawakala wa utalii wanaodai hatua ya Serikali kutoza Vat kwenye utalii kutaathiri sekta hiyo na kwamba, watalii wengi wamesitisha safari zao na wengi wameamua kwenda Kenya kwa vile nchi hiyo imeondoa kodi hiyo.
“Hizi ni kodi ndani ya Tanzania. Kenya ina mazingira tofauti kabisa na Tanzania. Hatuwezi kupanga kodi kwa maendeleo ya nchi yetu tukiwatazama wao,” amesema.

Tanzania siyo koloni la Kenya-Maghembe

hatuwezi kutokwa povu juu yenu, tunapanga mambo yetu kulingana na rasilimali zetu. kuhusu kuchukua wataalamu wa rwanda hakuna tatizo lolote, hata wao tuliwapa madaktari wetu wa upasuaji wa moyo. watalii lazima waje TZ hawana option nyingine, na tutazidi kuongeza VAT kadri tutakavo ona.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom