hizo ni salamu tu,vigogo wengi wa ccm wataanguka kwa nafasi zozote watakazogombea, kwani huu sio wakati wa hila
Ni kweli, hata hiyo katiba wanayofikiri ni kwa ajiri yao, itakuwa ni kwa ajili ya wengine. Kisha nao wataanza kulalama eti katiba imeruhusu kuweka fedha nje, katiba haijaweka ukomo wa mbuge au katika haijaainisha swala la uwajibikaji kama tunu. Wengi wa walioshiriki kutengeneza katiba ya CCM wanaamini 2015 wataendelea kula bata. Mambo yatawageukia tu, na asilimia kubwa hawatarudi.