Wewe vipi, hapa ni sehemu ya kuleta taarifa, unauliza swali iwapo taarifa inamapungufu, sasa nani akupe taarifa wakati wewe umeanzisha uzi huku huna taarifa?, kama kuna mwanaJF angekuwa na taarifa hizo si angeanzisha uzi, au unalengo la kuleta uchulo???