Wazenji

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,477
Reaction score
1,139
Mimi Nina nia ya kuoa Zanzibar lakin mpaka sasa hatakufika sijawahi wala kukutana na mzenji,nia YANGU itafikia malengo?
 
Si ubadili dini ili upate kitu roho inapenda kuliko kulialia!!!
 
Wana sifa gani ya ziada nasi tuijue mkuu.
 
Afu mara nyingi wanapenda wazenji wao wanawaogopa sana wanaume wa tanzania bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…