lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Wazee wawili wameuawa mkoani Mbeya kwa imani za kishirikina. Akidhibitisha kuuawa kwa wazee hao wawili mkuu wa polisi mkoa wa Mbeya amesema wazee hao wameuawa kwa imani za kishirikina kwa kile wananchi wanasema wazee hao wanasababisha ugonjwa wa kipindupindu kwa njia za kishirikina.
Chanzo: Radio one
Chanzo: Radio one