Wazee Wawili na Vijembe

Wazee Wawili na Vijembe

8691jakigili

Senior Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
178
Reaction score
67
Babu mmoja alimtembelea bibi katika mtaa wa pili ambaye wanasali wote. Alipofika mlangoni aligonga asipate jibu ila alisikia kishindo cha nyayo kilisikika mtu akitembea ndani ya nyumba. Babu huyo alipoona hakuna jibu kwa dakika kadhaa, akaamua kuondoka katika mji huo. Lakini akaacha ujumbe mlangoni: "Tazama, nasimama mlangoni nabisha..."(Ufunuo 3:20). Jumapili iliyofuatia bibi naye akajitokeza kanisani akiwa na karatasi mkononi. Alimpatia mzee mwenzake bila kumsemesha neno lolote. Ujumbe wa bibi ulisomeka: "Nalisikia sauti yako bustanini, nikaogopa, kwa kuwa nalikuwa uchi, nikajificha"(Mwanzo 3:10).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom