wazee wanazingua bhna

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,834
1,055
utasikia oooh mtoto alali mapema ndio maana akui
unajua mm nilikaa nikafikiria mtoto anakosaje kukua kisa halali hapo niligundua kuwa walikua wanalenga kuwa mtoto hakui mpaka awe na mdogo wake
sasa ikiwa toto halilali haraka inamaana wakubwa watakosa muda wa kumtngeneza mdogo wake inamaana watakosa muda wakufanya yao hivyo walilazimisha watoto walale mapema sana mpaka saa nne wakubwa wakiingia kitandani wanmgeuzia uko wao wanafanya yao
inshort wanazingua kama una la kwako na wewe linakukera wasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom