Wadau najaribu kuangalia maisha yanavyokwenda naona hali si hali.lakini najiuliza hawa wazee wetu waliwezaje kufanya mambo ambayo sisi vijana naona yanatushinda hasa walikuwa waajiriwa wa serikali.
Mameneja wa bank,walimu wakuu,madereva,wafanyakazi na mameneja wa taasisi nyingi za umma mishahara ilikuwa midogo bt ndio walikuwa na nyumba,magari,mifugo ya kutosha na maisha ya raha ( tv+ satelite dish).
Wao waliweza vp wakati sisi naona hali si hali.