Wazee wa wilaya ya Mkuranga waiomba CHADEMA iende wilayani kwao.

Mbunge wao ana Lap top 3, Bunduki 1, Pistol 1, Pete za almasi, Simu 4, Cash money nk LOL

Kwa mtaji huo lazima watafute altenative...

Kama naibu waziri hivyo mtoto wa mkulima atakua anatembea na RPG, maguruneti, Ak 47, na box lenye mkanda wa risasi wa kivita.
 
Kiranga anarudi kuhamasisha Domokrasia kwao Mkuranga na kupima maji 2015 ala "Le Mutuz"
 
dr.slaa tilia mkazo mikoa ya pemba,tanga,lindi,ruvuma,mtwara,morogoro,dodoma,tabora,manyara,pwani,singida na kwa wapare
 
Kwel kabisa Mkuranga pana vijana wasomi wanaopenda mabadiliko pia hata wabunge walopita wote hawajafanya la maana.Kijana silaha hatakiwi Kisiju na wamesema akienda atakiona cha moto,kuna jamaa wa CUF walokuwa wakimtegemea nae kawasalit kajiunga na k-silaha.Wanasema hawatak kusikia CCM wala CUF wanadai vyote hivyo havina mwelekeo,tegemeo lao n CHADEMA tu,kwa hiyo Mwenyekiti Vijana CHADEMA aende kufanya mikutano na pia kutafuta vijana waaminifu kwa ajili ya chaguzi zijazo.
 

Mkuu kama ulikuwepo, hadi Shungubweni ndani kabisa huko kwa walalahoi,upepo ni cdm.
 


Safi sana ukombozi unanukia sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…