Wazee wa wilaya ya Mkuranga waiomba CHADEMA iende wilayani kwao.

Mbunge wao yuko busy na kulala ugenini mapaka kaibiwa

WAZIRI%2BMALIMA%2BKWENYE%2BKANZU..JPG
 
Mbunge wao ana Lap top 3, Bunduki 1, Pistol 1, Pete za almasi, Simu 4, Cash money nk LOL

Kwa mtaji huo lazima watafute altenative...

Kama naibu waziri hivyo mtoto wa mkulima atakua anatembea na RPG, maguruneti, Ak 47, na box lenye mkanda wa risasi wa kivita.
 
Kiranga anarudi kuhamasisha Domokrasia kwao Mkuranga na kupima maji 2015 ala "Le Mutuz" :)
 
dr.slaa tilia mkazo mikoa ya pemba,tanga,lindi,ruvuma,mtwara,morogoro,dodoma,tabora,manyara,pwani,singida na kwa wapare
 
Kwel kabisa Mkuranga pana vijana wasomi wanaopenda mabadiliko pia hata wabunge walopita wote hawajafanya la maana.Kijana silaha hatakiwi Kisiju na wamesema akienda atakiona cha moto,kuna jamaa wa CUF walokuwa wakimtegemea nae kawasalit kajiunga na k-silaha.Wanasema hawatak kusikia CCM wala CUF wanadai vyote hivyo havina mwelekeo,tegemeo lao n CHADEMA tu,kwa hiyo Mwenyekiti Vijana CHADEMA aende kufanya mikutano na pia kutafuta vijana waaminifu kwa ajili ya chaguzi zijazo.
 
Mkuu kama ulikuwepo, hadi Shungubweni ndani kabisa huko kwa walalahoi,upepo ni cdm.
 
Wakuu nipo nasikiliza kipindi cha pata pata cha Wapo radio ambapo wazee wa wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani wamewaomba chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA waende wilayani humu ili wao warudishe kadi za CCM kwani madiwani wa wilaya hiyo ambao wengi ni wa CCM wamewasaliti wananchi hao kwa kutowasikiliza matatizo yao wakati wakati wa kampeni madiwani hao wa magamba walifanya kampeni hadi usiku.

Wazee hao wamesema wamekichoka CCM na wapo tayari kuhamia CHADEMA kwani wana imani ndicho chama kinachnweza kuwakombna.Nawaomba viongozi wa CHADEMA waanze kuendesha operesheni sangara ili kuzoa wanachama huko Mkuranga kwani wananchi wameisha wachoka magamba.

Safi sana ukombozi unanukia sasa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom