Wazee wa trap music tukutane hapa

Wazee wa trap music tukutane hapa

gwapo

New Member
Joined
Jan 4, 2018
Posts
4
Reaction score
2
Kama uzi unavyo sema binafsi napenda sana kusikiliza muziki aina ya trap kama pia ww ni mpenzi wa trap music ucpite bila kuacha jina la msanii wa trap unaye mkubali kwa mm nitamtaja famous dex a.k.Dexter na 21 Savage
 
21 savage,,,,lil Uzi vert, Kodak black, hivo vichwa nyoko
 
21 savage,,, Album lake la Issa hauwez skip ngoma yoyote ile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom