Wazee wa Netflix!!

Nina wazo mkuu kama mtanisamehe natoka nje ya mada
Kwann tusieke jukwaa la kupeana tips and tricks za samsung A50 ikependelea zaidi iwe telegram kusije kuonekana Kuna ubaguzi humu. Nawasilisha
Mm ni mmoja wa mtumiaji wa hiyo simu
 
Ndiyo maana duh...bei imechangamka kidogo duh nusu milion
 
Duh aisee wakati mlimani city mpaka leo A 10 bado hazijaisha...hipsters kazi wanayo
Mcity pale wanachelewaga sana kuleta model mpya za A series. Kwa sasa A10 imeshakua replaced na A01 na A11. Kkoo na makumbusho zipo kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…