Alimcharaza bakora moja tu yule jamaa akakata moto! Mkurugenzi sio Ubondia wa FimboNdugai
Larry Holmes Mzee wa kwanzaWazee kama akina nani?
Alimcharaza bakora moja tu yule jamaa akakata moto! Mkurugenzi sio Ubondoa wa Fimbo
Hahahahaha subiri kidogoHhahahaha...Leo umeandika kipare naona! Au unajitundika mitungi
Yule jamaa akikulenga na fimbo yake hakukosi!Ndugai
Bruno, Trevor Berbeck, Michael spnks, Gorotta, wote hao walikuwa wazee? Na ukiangalia wengi Wa waliompiga Tyson walianza kujitokeza Mara baada ya yeye kuchoka.Larry Holmes Mzee wa kwanza
Jiulize ni kwanini aliwakimbia kina Riddick Bowe, David Tua, Lennox Lewis na alipokubali kwa shingo upande kuzichapa na Evender Holyfield ndio ukawa mwisho wake !Bruno, Trevor Berbeck, Michael spnks, Gorotta, wote hao walikuwa wazee? Na ukiangalia wengi Wa waliompiga Tyson walianza kujitokeza Mara baada ya yeye kuchoka.
Hata pambano lake la kwanza kupigwa na Bustler Deoglas alipgwa wakati akiwa ametoka kwenye majeraha ya kuumizwa mkono na majambazi lakn pamoja na kupgwa deoglas aliramba ardhi Mara kadhaa
Mkuu kwanza Uzi wako umekosea Jukwaa, hapa sipo mahali pake, hii inaonyesha jinsi gani umekurupuka kuleta huu Uzi. Lakini pili Nina wasiwasi kuwa mchezo wa Masumbwi hujaujua vizuri.Kwa wale wapenzi Wa masumbwi je ni bondia gani aliyekuvutia enzi zake au anayekuvutia kwasasa?
Kwa upande wangu mm mwanamasumbwi niliyetokea kumpenda alikuwa Mike Tyson, huyu jamaa alikuwa moto Wa kuotea mbali hasa,
Japo inasemekana anataka kurudi tena na umri Wa miaka 54 ambayo ametimiza majuzi naamini anaweza kuwatwanga baadhi ya mabondia kama Andy luiz
Huyu jamaa alipigana mapambano 58, ameshinda mapambano 50 kati ya hayo 44 kwa KO na amepoteza sita tu huku 2 hayakuwa na ubingwa.
Kuna mapambano mawili ambayo yalinisisimua sana moja ni pambano kati ya Tyson na lary Holmes ambalo Tyson aliibuka mshindi kwa KO ambapo Tyson aliingia Kwa kulipiza kisasi ikiwa ni ahadi aliyomuahidi Mohammad Ali baada ya Ali kupgwa na Holmes vibaya mno Tyson aliumia na kusikitika sana kipindi hicho akiwa bado hajaanza kupgana
Akiwa chini ya mwalimu wake Mzee cus da mato alimtumia ujumbe Ali kwamba ntakuja kumpiga Holmes kwaajili yako na akaja kutimiza ahadi yake mbele ya Ali akiwa tayari amestaafu masumbwi.
La pili ni lile alivyotoka gerezani dhidi ya McNeely, mwanzo McNeely aliongea shit sana kwa mike lakn siku ya pambano laundi ya kwanza McNeely akawa hoi hawezi tena kuendelea.
Huyu jamaa alikuwa hatari sana hakuwa na masihara kabisa ulingoni
Hakuna bondia bora kama Joe Frazier kupata tokea,basi walikua wanapewa kina Mohamed Alli lakini Frazier alikua the bestKwa wale wapenzi Wa masumbwi je ni bondia gani aliyekuvutia enzi zake au anayekuvutia kwasasa?
Kwa upande wangu mm mwanamasumbwi niliyetokea kumpenda alikuwa Mike Tyson, huyu jamaa alikuwa moto Wa kuotea mbali hasa,
Japo inasemekana anataka kurudi tena na umri Wa miaka 54 ambayo ametimiza majuzi naamini anaweza kuwatwanga baadhi ya mabondia kama Andy luiz
Huyu jamaa alipigana mapambano 58, ameshinda mapambano 50 kati ya hayo 44 kwa KO na amepoteza sita tu huku 2 hayakuwa na ubingwa.
Kuna mapambano mawili ambayo yalinisisimua sana moja ni pambano kati ya Tyson na lary Holmes ambalo Tyson aliibuka mshindi kwa KO ambapo Tyson aliingia Kwa kulipiza kisasi ikiwa ni ahadi aliyomuahidi Mohammad Ali baada ya Ali kupgwa na Holmes vibaya mno Tyson aliumia na kusikitika sana kipindi hicho akiwa bado hajaanza kupgana
Akiwa chini ya mwalimu wake Mzee cus da mato alimtumia ujumbe Ali kwamba ntakuja kumpiga Holmes kwaajili yako na akaja kutimiza ahadi yake mbele ya Ali akiwa tayari amestaafu masumbwi.
La pili ni lile alivyotoka gerezani dhidi ya McNeely, mwanzo McNeely aliongea shit sana kwa mike lakn siku ya pambano laundi ya kwanza McNeely akawa hoi hawezi tena kuendelea.
Huyu jamaa alikuwa hatari sana hakuwa na masihara kabisa ulingoni
Fatilia,hata huyo aliemlipizia kisasa Mohamedi Ali tayari umri ulikua umekwendaWazee kama akina nani?
Hahahaa! Naona umejaa upepo ng'wangwaMkuu kwanza Uzi wako umekosea Jukwaa, hapa sipo mahali pake, hii inaonyesha jinsi gani umekurupuka kuleta huu Uzi. Lakini pili Nina wasiwasi kuwa mchezo wa Masumbwi hujaujua vizuri.
Tatu Umenikera Sana kumtolea mfano Andy Ruiz, Huyu Mmexico ndiyo unamuona kibonde !!! HUJUI kuwa huyu Ni rollmodel wa Canelo pamoja Mexico Boxing Federation Andy Ruiz ni Mdau mkubwa mwenye heshima zake.
View attachment 1497150
Iweje umchukulie Andy Ruiz kibonde ikiwa Ni Bondia anayesifika kwa uvumilivu na kutokata pumzi, Tyson anakata pumzi mapema Hamuwezi Andy Ruiz,
Povu Tayari.