Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,204
- 13,179
Kwa wale wapenzi Wa masumbwi je ni bondia gani aliyekuvutia enzi zake au anayekuvutia kwasasa?
Kwa upande wangu mm mwanamasumbwi niliyetokea kumpenda alikuwa Mike Tyson, huyu jamaa alikuwa moto Wa kuotea mbali hasa,
Japo inasemekana anataka kurudi tena na umri Wa miaka 54 ambayo ametimiza majuzi naamini anaweza kuwatwanga baadhi ya mabondia kama Andy luiz
Huyu jamaa alipigana mapambano 58, ameshinda mapambano 50 kati ya hayo 44 kwa KO na amepoteza sita tu huku 2 hayakuwa na ubingwa.
Kuna mapambano mawili ambayo yalinisisimua sana moja ni pambano kati ya Tyson na lary Holmes ambalo Tyson aliibuka mshindi kwa KO ambapo Tyson aliingia Kwa kulipiza kisasi ikiwa ni ahadi aliyomuahidi Mohammad Ali baada ya Ali kupgwa na Holmes vibaya mno Tyson aliumia na kusikitika sana kipindi hicho akiwa bado hajaanza kupgana
Akiwa chini ya mwalimu wake Mzee cus da mato alimtumia ujumbe Ali kwamba ntakuja kumpiga Holmes kwaajili yako na akaja kutimiza ahadi yake mbele ya Ali akiwa tayari amestaafu masumbwi.
La pili ni lile alivyotoka gerezani dhidi ya McNeely, mwanzo McNeely aliongea shit sana kwa mike lakn siku ya pambano laundi ya kwanza McNeely akawa hoi hawezi tena kuendelea.
Huyu jamaa alikuwa hatari sana hakuwa na masihara kabisa ulingoni