Wazee wa mali kauli vs wahongaji

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,597
Habari wana JF,

Eh bhana katika pita pita zangu humu ndani nimeshuhudia kwamba kuna makundi tofauti ya wanaume. Kuna wale wahongaji wazuri halafu kuna wale wasio na kitu yani mtaji ni kujua kusaundisha a.k.a wazee wa mali kauli. Baada ya kuyaona makundi hayo hapo juu nilitaka kufahamu kwamba je:

1. Ni yupi wenye mvuto zaidi kwenu wasichana/ wanawake?

2. Ni yupi ambae anaonesha kukimudu zaidi kitanda kati yao?

3. Yupi ambae anaweza kuanzisha mahusiano na kuyamudu vizuri kati yao?

4. Yupi anaweza kuwa chaguo sahihi for serious relationship?

5. Kwa wanaume je ni kipi bora kati ya kutumia njia ya kuhonga ama kusaundisha?
 
deepboyfrexh mimi nilivyokuwa kijana kama wewe nilikuwa natumia njia ya kusaundisha, lakini cku hizi natumia njia ya kuhonga,
 
Last edited by a moderator:
Pesa nitakupa kama msaada kwa mpenzi wangu lakini mali kauli ndio mpango.

Ukizoea Kuhonga siku zikikuishia na yeye ndio rasmi anakuacha
 
suala la kuwa vizuri kitandani walaaa halihusiani na pesa,
mie napenda quality sex na pesa(ofcoz nani hapendi pesa tena inayotoka kwa mpz ina raha yake zaidi) ila kama haipo basi we nipe kito**o heavy na atention hata suala la pesa nitasahau.
 
Wahongaji katika ubora wao.....
Ivi ikitokea umehonga before kupewa mzigo afu demu akazingua kukupa unahonga tena amaaa.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…