makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,442
- 108,486
Kwanini kaka?Hizo bei ni mtego bro
Kwenye kitonga lazima, kengele ya hatari igonge.Kitongaaaa kwelii
Kifupi?Hizo bei ni mtego bro
Kwenye kitonga lazima, kengele ya hatari igonge.
Hao wanafanyaje mkuu? Bado wanapiga madeal?Labda kama una watu TRA au exemption.
Hao wanafanyaje mkuu? Bado wanapiga madeal?
Bongo bwana bongo!!Mara nyingi hizo gari zinakuwa na conditioning ambayo siyo nzuri, utakuta zimekaa muda bila watu kuziulizia. Au ukiongea naye atamwambia sababu za hizo bei...
Tumekuwa na li nchi la hovyo sana! Huyu mzee sijui wanamhujumu au na yeye ndivyo alivyo?Ni ngumu sana, TRA huwa siwaelewi. Wakiweka kwenye ile calculator yao kodi ikaja ndogo wanatumia assessment za kukadiria.
Lengo ni kukusanya mapato kadri inavyowezekana.
Tumekuwa na li nchi la hovyo sana! Huyu mzee sijui wanamhujumu au na yeye ndivyo alivyo?
Watumizi wake wataleta ushuhuda.B[emoji3493] magari mabovu balaa
Hii principle ndio ikanifanya nitafute magari ambayo kabla watu kuyashobokea mfano ist, rumion n.k bei bado bado..The higher the demand....and vice versa. Kuna magari yanapendwa sana mfano IST haya obvious wauzaji wanajua trend wanapandisha bei. Na kuna magari yanaogopwa sana mfano Toyota zenye engine kubwa kama mark x na crown na Kwa upande mwingine zinazoogopwa ni Euro makes hii inafanya wauzaji wazishushe bei. IST inaweza kuuzwa bei Sawa na Crown/BMW haina maana hio IST ni Bora Bali ina wateja wengi.
Wana kagereji kao uchwara hapo Delisalamu, yaani gari yangu imekaa happy miezi miwili ikitengenezwa, na baada ya sumbuana nyingi Sana ndipo nikaletewa NgaraWatumizi wake wataleta ushuhuda.

Duh! Pole saana al babu.Wana kagereji kao uchwara hapo Delisalamu, yaani gari yangu imekaa happy miezi miwili ikitengenezwa, na baada ya sumbuana nyingi Sana ndipo nikaletewa Ngara