Wazee wa kureject muamala ukishatuma kwa mwanamke

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,378
Kuna jama yangu huwa akisha mlala demu anamtumia pesa demu akiwa njiani anarudi kwake jama anareject muamala

Kafanya ako ka mchezo sana sasa sikumoja kaingia mkenge akafanya kama alivyo zoeya yule mwanamkee alirudi kwa jamaa \ hao inzi alio mjazia jama alipoaaaa alikuwa sisismizi
 
Mnaifanya JF kuwa ya kiduwanzi sana, kiasi kwamba ukiwa zako una scroll down mtu akikusogelea tu, inabidi utupe simu ghafla ili usipate aibu akiona kile unasoma, maana obviously atakuona na wewe ni phaller..!!

shemeji,mambo ?
 
nimekosa jibu
 
Phaller wewe, nimecheka sana
 
Mnaifanya JF kuwa ya kiduwanzi sana, kiasi kwamba ukiwa zako una scroll down mtu akikusogelea tu, inabidi utupe simu ghafla ili usipate aibu akiona kile unasoma, maana obviously atakuona na wewe ni phaller..!!
Kuna siku niliwapigia huduma kwa wateja mtandao wa "Airtel",nilikuwa nalalamika namna wanavyotupangia vifurushi,mara MB's hizi utumie mchana na hizi kwa ajili ya usiku, yule mwanamama alinijibu hivi "Si utumie kile ambacho hakina masharti haya". Nikakata simu.

Kwa ufupi unapochagua kusoma nyuzi za kiduwanzi ujuwe wewe ndiyo mduwanzi namba moja. Kwahiyo soma nyuzi ambazo si za kiduwanzi.
 
Nawe ujifunze kuacha uduwanzi maana umekuja na mfano mrefu kama mvua halafu hata hauna logic na kile nimezungumzia hapa.!!

Content ya thread utaijuaje bila kufungua na usome yaliyomo.? Maana kuna vingine headings zina mantiki kabisa ila ukisoma yaliyoandikwa ndiyo unagundua hata haviendani..!

Au mwenzetu unaoteshwa yaliyomo kabla usome thread.??
 
Ongeza umakini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom