Alisina JF-Expert Member Aug 9, 2016 4,136 4,364 May 3, 2017 #3 Hehe mambo ya fashoni..urembo huu! Hakyanani dunia tambala bovu!!
ukhuty JF-Expert Member Oct 9, 2016 16,877 41,962 May 3, 2017 #4 MSAGA SUMU said: View attachment 504153 Click to expand... Khaaaaaaa
PingPong JF-Expert Member Dec 21, 2008 926 160 May 3, 2017 #5 Hapo kutokewa na viotea vya mifupa ni nje nje, muda si mrefu utaanza kumtafuta daktari wa mifupa.
gollocko JF-Expert Member Dec 20, 2011 2,945 2,280 May 3, 2017 #7 Mbona mateso matupu, halafu guu la kushoto limevishwa chain
white hat JF-Expert Member Dec 16, 2016 3,321 2,490 May 4, 2017 #8 wanawake wanachokitafuta watakipata
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,593 70,875 May 4, 2017 #9 mitindo mingine kazi kwelikweli
roboka kafwekamo JF-Expert Member Mar 12, 2017 821 449 May 4, 2017 #13 Wanawake wnajitumikisha wenyewe
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 May 4, 2017 #14 Urembo na mitindo usimame mie nishuke sina tena safar