Wazee wa dashi hivi sasa ni saa saba na robo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazee wa dashi hivi sasa ni saa saba na robo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,467
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Wale wenzangu wanaoshinda ofisini wakidai matumbo yanawauma awaendi lunch
  hivi sasa ni sasa saba na dk 17 naona muda unaendwa kweli nanyi mliokimbilia breakpoint
  jamani muda unakwenda kumbuken kuwahi kibarua adimu bongo sio kama kubeba....
  Kila lalkheri nawakumbusha mnaoikata ile mambo wakakti wa kazi pale breakpoint ya town na
  huko millenium muda wahini kabla kafolen akajaanza kukutoa nishai
   
Loading...