92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,424
- 17,072
wakali wa kazi hizo nimewaachia vant haishuki hata kidogo[emoji23][emoji23]Halafu vant yenyewe unafyonza kidogo sana unasukumia mate mengi tatizo watu wanakunywa vant kama maji ndio zinawaaibisha na wakati unafyonza pembeni pana maji lita mbili unapiga mdogo mdogo huwezi kulewa kabisa