Njaa ukiiendekeza sana inaondoa ufahamu na kukufanya kuwa mtumwa.
Wakati Kikwete na Magufuli walipofika jimboni hai,walimwaga pongezi nyingi kwa Mbowa kwa kazi zuri za kimaendeleo ana zozifanya kwa kushirikiana na wananchi wa jimbo.
Watu wengine ndio wanaibuka na kubeza juhudi zote za Mbowe kana kwamba hakuna chochote kilichofanywa na Mbowe,ukiwaangalia watu wenyewe wanaombeza Mbowe ni wale waliopigika kwa njaa na wako kazini kumpigia debe mtu wao ili akibahatika kupata awezi kuwafikiria mkono uwende kinywani.