Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,559
- 3,953
Kuelekea uchaguzi serikali za Mitaa mwaka na Uchaguzi mkuu mwakani, Wazee na Viongozi wa Dini watakiwa kutumia nafasi zao katika jamii ili wapatikane Viongozi bora kwa lengo la Maendeleo ya Taifa.
Hata hivyo wazee hao wamesema Wananchi wamekuwa wakikata tamaa kutokana michakato ambayo imekuwa ikifanyika kwa kuwapitisha na kuwatangaza wale ambao hawakuwa chaguo lao kulingana mtiririko wa matokeo mara uchaguzi unapokuwa umekamilika na kuzitaka mamlaka husika kutumia taratibu zinazostahili.