BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,050
- 10,495
Mwisho mwa wiki iliyopita nilipatana na huyu dada ambaye baadae nilikuja kugundua ni mke wa mtu sasa wakati tumekutana nilibeba zana na nilitumia kwenye bao la kwanza baadaye aliniambia nikanunue mafuta ili nipige nyama kwa nyama kuepuka michubuano bila ubishi nilinunua wese na ndio ulikuwa mwanzo wa mwisho kutumia kinga huu ni udhaifu na ujinga niliofanya kimsingi milango yote niliingia tena peku.
Siku ya leo baada ya kuvua boxer na kuona ina alama ya uchafu ulioganda nikashtuka nikajaribu kujibinya uume naona uchafu wa maziwa unatoka ikabidi nifanye maamuzi ya kwenda dispensary kupima majibu ni kuwa nina gonorrhea ikabidi haraka niulize wajuzi wa mambo ipi dawa sahihi ya kutibu hii changomoto wakaniambia Azuma nishaanza dozi.
Gonorrhea naweza kupona vipi kuhusu ukimwi sina wa kumlaumu zaidi ya nafsi yangu na tamaa zangu za mwili aliyeniambukiza nishampa taarifa yupo kimya kama hakijatokea kitu.
Wazee magonjwa ya zinaa bado yapo usipime kwa macho, chukua tahadhari.