Wazee, mambo mengine muwaachie vijana

tatizo wazee wa kiume wana libido zimebaki ila potency hawana

nadhani uzee ndo umri sahihi wa PULI.
Sasa apige show kadri ya uwezo wake, kama tako 2 ama tatu ndio uwezo wake, basi zinatosha ndio uwezo wake.... Sio kuji boost na midawa, na hapo utakuta anakunywa na energy drinks, siku hayo mavitu yakiripuka ndio unakata moto huko lodge/hotel..


Kifo cha aibu, kizembe na kujitakia...
 
Ndio maana wanakufa vifo vya aibu huko nyumba za wageni kumbe ni sababu ya hizi mambo
 
Its true,sexual drive inhencement are dangerous for your heart

ila for each is own,tusipende kufatilia maisha binafsi ya watu!

huu uzi ni totally unnecessary kabisa,ila who cares!
 
Dada kakutana na Mathayo,badala amshughulikie,akaanza kumpa mahubiri.
Unatakiwa umsome mwanamke anataka nini.We unadhadhani huyo mwanamke haijui hiyo?
Vijana wenyewe kuna kitu kinaitwa MKONGO kinatumika sana,mahanga yapo kwa wazee hadi vijana.Uwe unang'amua codes za wadada mkuu.
 
โ€œNjoiโ€
Wangekamilisha tu iwe โ€œInjoiโ€ kusadifu yaliyomo.

Ama hawainjoi?
 
Umetoa ushauri wa bure.
 
Hiyo dawa originally ilikuwa kwa ajili ya kushusha presha (ina relax mishipa ya damu).. accidentally ikawa inatibu uhanithi pia..
Sasa mtu presha yako ipo normal au karibia normal au ipo chini halafu unakunywa hiyo, presha itashushwa na unaweza ukadedi
 
We jamaa acha ujuaji unauhakika gani kama mwenzako huyo babu hajapewa na daktari wake huko kwenye clinic zake za matibabu.Mzee anayeshenyenta kila wiki sio mwenzako huyo๐Ÿค— achana na wastaafu wanamachungu ya kulitumikia taifa.

Alafu wewe na uelewa wako hata kugoogle umeshindwa hizo dawa kwa akili zako unadanganya watu zinatibu TEZI DUME.

Huyo demu alikuwa anataka UKAICHAPE,tatizo huwa hauhudhurii vikao,mwanaume unatakiwa uwe sharp KUDECODE,ujumbe ulioencripted.Wewe na uzwazwa wako kesho atakuja kukupigia hodi akuambie tena kuna chumba ameona sexual lube oil๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ na bado utaendelea kutoa macho na kuja kuanzisha sredi huku JF, changamka kijana SHENYENTA huyo muhudumu alafu punguza kuchekacheka hovyo utaibiwa.

Pia punguza ujuaji,UMBEA na fanya maisha yako! Yaani kwa akili za kawaida wewe ndo kwanza umefika inakuwaje muhudumu akuzoe kiasi hizo mpaka kupata guts za kukuuliza vitu vinavyohusu PRIVACY ZA WATEJA WENGINE!!!

Mtoto wa kiume acha umbea,uzandiki,uchawi na usokolokwinyo, siku nyingine wewe na huyo demu wako MUHUDUMU wa gesti mtakuwa na mashtaka ya kujibu!!!
 
Wazee wenyewe ndio kama lile lizee linalojiita babu wa tiktok
 
Hizo dawa pia maalum kwa wazee na wagonjwa wa kisukari,cha ajabu vijana ndio wamekuwa watumiaji wakubwa
 
pakti imesomeka NJOI hutaki wazee tuiinjoi
Sema hilo soksi la ZANA ni kama miaka ile kidumu na mfagio unavaa soksi za pundamilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ