Janja PORI JF-Expert Member Joined Jul 31, 2011 Posts 825 Reaction score 247 Sep 9, 2011 #1 wadau nipo Igunga hali tete bora Ccm A mh
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,332 Reaction score 1,618 Sep 9, 2011 #2 Hueleweki mkuu thats why mpaka muda huu wanajf hawajacomment chochote. Me nimeamua kujilipua kukwambia!
Hueleweki mkuu thats why mpaka muda huu wanajf hawajacomment chochote. Me nimeamua kujilipua kukwambia!
Mnyamahodzo JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 1,943 Reaction score 1,015 Sep 9, 2011 #3 Hakuna kilicho bora. CCM A wanamagamba, CCM B wanafiki, mafundi wa kulia-lia na kujipendekeza...ni mzigo ukiubeba utajuta na kuutua kazi.
Hakuna kilicho bora. CCM A wanamagamba, CCM B wanafiki, mafundi wa kulia-lia na kujipendekeza...ni mzigo ukiubeba utajuta na kuutua kazi.
Mbaliche JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 294 Reaction score 62 Sep 9, 2011 #4 kaswende huambukizana wana ndoa. Nihatari usiwaamini hao.