Wazee haka ka speed ni noma!

Bro simjui ISP natumia mtandao wa ofisi ninachojua ni kwamba tumeunganishwa na optic fibre!

ahaaa, basi kwa kukufahamisha tu spidi inatokana na huyo isp, fiber optic ni njia tu ya kisasa yenyewe haileti spidi.
 
Unamaanisha Kuna ISP hapa bongo anasupport 42.2Mbits/s?

High-Speed Downlink Packet Access ( HSDPA ) is an enhanced 3G (third- generation) mobile-telephony communications protocol in the High- Speed Packet Access (HSPA) family, also dubbed 3.5G, 3G+ or turbo 3G, which allows networks based on Universal Mobile Telecommunications System (UMTS) to have higher data-transfer speeds and capacity. As of 2013 HSDPA deployments can support down-link speeds of up to 42.2 Mbit / s. HSPA+ offers further speed increases, providing speeds of up to 337.5 Mbit/s with Release 11 of the 3GPP standards. Labda tu kama wanatubania bandwidth.
 
ka kweli mkuuu Paje let me finish this bullshit i will find u!
 
Last edited by a moderator:

Nimekusoma na soln nimeona ni kununua hizi modem
 
Au hii kitu itasaidia maana sisi huwa tunawalalamikia ISP wetu kumbe wanasupport vitu vikubwa
Lkn wanachofanya wanatuuzia Modem kulingana na uwezo wetu wanatupa Modem za 7.2Mbps

Hii kitu hapa juu ina support mpaka 28.8Mbps
 
Pretender, Mnafiki unazingua tu hapa! Kwenda huko na u much know wako ......!
 
Au hii kitu itasaidia maana sisi huwa tunawalalamikia ISP wetu kumbe wanasupport vitu vikubwa
Lkn wanachofanya wanatuuzia Modem kulingana na uwezo wetu wanatupa Modem za 7.2Mbps

Hii kitu hapa juu ina support mpaka 28.8Mbps

Nipeni tenda wazee nianza ku supply kwa laki 1 wazee
 
Nipeni tenda wazee nianza ku supply kwa laki 1 wazee

Anzisha Tangazo lkn wewe utengeneze screenshots za download speed ya modem HII
Afu unawambia watu waweke order kama wanataka hiyo modem yenye speed ya hivi
 
Anzisha Tangazo lkn wewe utengeneze screenshots za download speed ya modem HII
Afu unawambia watu waweke order kama wanataka hiyo modem yenye speed ya hivi

Nimekubali Mkuu marketing strategy nzuri!
 
Tumia Express Files kwenye kudowload, hutajuta
 
Bro simjui ISP natumia mtandao wa ofisi ninachojua ni kwamba tumeunganishwa na optic fibre!

Unatumia mtandao shared wa ofisi kudownload movies.

Wenzako wakilalamika kwa ISP kwamba wanalipa hela nyingi lakini mtandao hauna speed inayotakiwa (kwa sababu wewe unau slow down) ISP akisema yeye anawapa speed nzuri tu, na kuchunguza kwa nini mtandao unakuwa slow, atawaambia mpaka computer inayo slow down speed (yako) na kuwapa logs zinazoonesha wewe ndiye unaye slow down network kwa ku download movies kwa kutumia mtandao wa ofisi.

Really smart.

Ukitimuliwa hapo utasema umeonewa? Kuna mtu ishamtokea hivyo hivyo, alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya kimataifa, inalipa hela nyingi sana kwenye internet connection lakini watu wakawa wanashangaa speed ndogo. Wakawakaba ISP, ISP wakashangaa, kwa kazi zenu speed mbona nzuri tu? Kuangalia logs wakakuta kuna IP moja tu ndo inachukua bandwidth kubwa, kuangalia inafanya nini wakakuta jamaa ana download muziki tu. ISP kwa kutotaka lawama wakamuonesha mkurugenzi, tatizo lenu hili hapa, jamaa akapigwa chini. Mara aah, wazungu wananionea muafrika. Wazungu wanakuonea muafrika umepewa nafasi kufanya vitu umenyea kambi mwenyewe?

Ndicho unachofanya wewe sasa. Mambo ya internet hayana siri haya.Unaweza kujiona umekaa mwenyewe ofisini kumbe ISP ana log zako zote.

Mtu hata kuheshimu sehemu unayofanyia kazi unashindwa, halafu unataka kujidai hapa?

Wewe sio tu unafanya piracy, bali unafanya piracy ofisini, kwa resources za ofisi.
 
Emu nifungue macho kidogo hapo kumbe mtu kama anatumia VPN (kama bwana digital anavyotumia PD Proxy) kumbe kila anachokifanya kinaweza onekana?
Mm nilifikiri ukitumia VPN unakuwa anonymous online hakuna mtu anaweza akutrack unachokifanya
 
Anonynous is touted for false security and marketing.

Watu wamekuwa wakifikiri HTTPS iko encrypted for the longest, kumbe encryption ishavunjwa.

Kuna Mama Profesa wa Kichina yeye anakwambia hahitaji hata computer, mpe kalamu na karatasi. Kaandika algorithm ya kuvunja encryption ya SHA-1.

Isitoshe kwa ISP, hata kama asipojua content, ataona bandwidth kiasi gani unatumia. Hata kama ISP hawezi kuona VPN, bandwidth haijifichi.

Bottom line mtu anayejua ethics za IT hawezi kutumia mtandao wa kazini kudownload movies.

Tatizo kazi zinavamiwa.
 
Mkuu sina mda wa kusoma mashairi yako! Unaongelea vitu usivyo vijua, unalopoka lopoka tu! Mimi natumia tunnel guru, Im a premium Tunnel Guru subscriber siwagharimu ofisi hata 1mb, so please save ur energy... I dont need ur lecture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…