Wazazi wangu wajinga!

Status
Not open for further replies.
Wewe na mleta mada wote ni makhabithi

Unaanza lugha chafu.?
Unaweza?
Au matusi ni somo mojawapo huko madrasa?
Ndio maana mwenzako amesema wazazi wake mataahira.
Madrasa si elimu ya kumpeleka mtoto.
 




sikio la kufa mkuu hapo atamwambie vipi hawezi kukuelewa sababu tayari ana LAANA inayomtafuna
 
Imekula kwangu kivipi? ungejua jinsi wanavyoboa wala usingesema!

Hebu tupe maelezo kuhusu huo ujinga wao tukusaidie kukushauri.

Kwa kuanza tu siyo vyema kuwaita wazazi wako hivyo hata ingekuwa vipi. Ingekuwa wajinga wangekutupa na kukuwacha ukihangaika lakini mpaka umeweza kuingia kwenye web na kuwasema wao wajinga basi walikupeleka shule na kujitahidi kukupatia chakula ukaweza kuishi.
 
Unaanza lugha chafu.?
Unaweza?
Au matusi ni somo mojawapo huko madrasa?
Ndio maana mwenzako amesema wazazi wake mataahira.
Madrasa si elimu ya kumpeleka mtoto.


Wewe mpuuzi acha chuki zako za udini unakashfu madrassa badala yake umeona sunday school ndio pa kumpeleka mtoto?

Afu badala ya kumuonya ama kumkumbusha mtoa mada kua afanyalo si sahihi wewe unam suport......heri kukosa mali kuliko akili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…