Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Hiyo ni changamoto kubwa. Unakuta wote mmezaliwa town, mmekulia town, mmesoma town. Lakini linapokuja suala la kabila tu basi mazima tatizo. Ndo hapo najiulizs kuwa Mhaya, Mpare au msukuma lazima wote wawe the same??? Kwani huwez kuoa/ kuolewa na mmachame ukakuta ana tabia za kihaya?????mambo ya kikabila na udini mm nayaona ya kizamani na mara nyng sikuiz unakuta hata huyo mtu unaekatazwa hajakulia huko mkoani/kabila lake. Pamoja na wazazi wetu kuwa na hekima lkn hawapo sawa wakati wote, chambua hoja zao unaeza kosa mke/mume bora kisa mtazamo wa kizaman wa kikabila
Sio mchaga pekee bali wanawake wengi wa kaskazini imeonekana kama ni tatizo... Hapa ni pamoja na Wapare, Wamachame, Wachaga nk....Hasa ukitaka kuoa Mchagga.
Wazazi wengi sana wa Kanda ya ziwa na Kusini hawataki watoto wao waoe uchagani.