Bro vifurushi vya bure kule mitandaoni huwa havilipiwi?Naona huu uzi walimu wamekuja resi wanatoaje povu la kufa mtu hahahhaaaa
Unapoambiwa BURE maana yake nini
Acheni mambo zenu bure maana yake hakuna gharama sasa michango ya nini alafu kwanini asipate ripoti mpaka atoe hela hizo n tamaa
Ooh wazazi wazazii mlaumu waliosema bure sisi tunafyatua tu tunaleta BUREEE
Mlinzi wa serikali analinda nini? Na hayo mabegi yanalindwa ikiwa wanafunzi wako wapi?Sasa mabegi unapendekeza walindiww na nani?
Pili, kwenye vikao vya wazazi huwa mnajadili nini?
Yaani michango shuleni toeni tu msihoji sana hela za brashi tu hizo 'in kheri's voice'
Hakuna sababu ya kuwatolea matusi wazazi na kuwaona hawajitambui, ahadi ni kitu cha kuheshimiwa sana, na bahati mbaya inarudiwa kila nafasi inapopatikana. Nashauri itangazwe tu ulikuwa ni utaratibu wa muda, ni serikali ilisitisha na si wazazi, ktk shule za serikali tulishazoea kuchangia, leo unapomwambia achangie hata sh 50/= acha 5000 lazima kama wazazi tuhoji, maana ya elimu bure inaeleweka tena vizuri tuKabisaaaa na n ujinga wa kiwango cha PhD,nataman Magufuli afute elimu bure,
Wazazi wamekuwa watu wa hovyo sanaaaaa,ikitokea hata dharura ya kuchangia sh 2000 wazaz hawachangii kwa sababu ya elimu bure......
Kiukweli ubora wa elimu umepungua kabisaaaaa....
Mm namshauri Magufuli wazazi wachangie michango ya shule aachane na elimu bure......
Wazazi wengine wameacha kabisa kufuatilia maendeleo ya wanao kwa sabb ya elimu n bora liende tu ili mzazi awe na uchungu lazima achangie michango ya shule
Walimu watapata wapi hela Za kubrashia viatu?Amani iwe kwenu.
Huku wananchi wakiendelea kuaminishwa kuwa elimu ya shule primary hadi Sekondari ni bure. Bure kabisa na kwamba wananchi masikini wanafaidika.
Hali imekuwa tofauti kwa shule nyingi mkoani Dar es salaam. Wazazi wanatakiwa kwenda kuchukua ripoti za matokeo ya watoto wao huku wakiwa na kati ya shilingi 5000- 10,000 tena bila risiti kwa ajili ya ( ujenzi, ulinzi ama maendeleo ya shule) sababu hutofautiana kutegemea na shule.Wazazi wenye watoto wao wanaposhindwa kulipa hawapewi ripoti kabisa.
Watu wanahoji maana ya eelimu bure inayohubiriwa na mamlaka ni ipi? Je sio kweli kwamba serikali inauhadaa umma? Badala ya kutumia mamilion ya walipa kodi kuboresha elimu ya watoto sisi twawahonga wabunge wa upinzani na kubaki tukikenua, wabunge wanaohama ili kuunga mkono hawana budi kujibu kwanza na haya kama ni miongoni mwa juhudi wanazounga mkono au laa.
Waziri wa elimu una chakueleza?
Tujadili
Shule nyingi Za elimu bure wazazi ni kama wamewatelekeza watoto Wala hawafuatilii chochote labda itokee mchango wa elfu Moja au elfu mbili hapo ndio wanakuwa ActiveKabisaaaa na n ujinga wa kiwango cha PhD,nataman Magufuli afute elimu bure,
Wazazi wamekuwa watu wa hovyo sanaaaaa,ikitokea hata dharura ya kuchangia sh 2000 wazaz hawachangii kwa sababu ya elimu bure......
Kiukweli ubora wa elimu umepungua kabisaaaaa....
Mm namshauri Magufuli wazazi wachangie michango ya shule aachane na elimu bure......
Wazazi wengine wameacha kabisa kufuatilia maendeleo ya wanao kwa sabb ya elimu n bora liende tu ili mzazi awe na uchungu lazima achangie michango ya shule
Kwani walimu ndio walitangaza elimu bure?Wewe unakurupuka kuwalaumu wazazi bure tu, sasa kabla ya mahubiri ya elimu bure waliwahi kukulilia kwamba wameshindwa kuwasomesha watoto wao? Wanakosa gani kuhoji kuhusu malipo hayo kwa kuwa wao wameaminishwa ni elimu bure? UVCCM bwana!
Elimu inaanzia kwenye nauli unayomlipia mwanao,Uniform,Daftari nk,je ulishawahi lipiwa Kati ya hivyo nilivyoorodhesha au mzazi ndio analipa?michango inaruhusiwa au hairuhusiw?i Raisi alishasema ni bure unaelewa maaana ya bure? Halafu mnamshambulia mtoa maada jibuni hoja zake, Au na nyie ni waalim maslahi yenu yameguswa?
Hao wanaohubiri Elimu bure hawana hata mtoto mmoja huko kwenye elimu bure.Ukianza kuwasubiri hao utaumia mwenyeWewe ndio unapiga siasa. Waambie kwanza hao wanohubiri elimu bure waache uone kama wazazi watashindwa kugharamia elimu.
Ungetaja jina la shule INGEPENDEZA zaidi. Ila ninachojua kuwa katika baadhi ya shule wazazi wanakubaliana kulipia michango ya ulinzi na hata ujenzi wa mabweni kwani fedha za kugharamia matumizi hayo hazitolewi na serikali
Mkuu hiyo shule ina karaha Hamisha mwanao fasta mpekeke Tusiime hawana Longolongo waleLabda ni jinsi alivyo uwasilisha huu uzi ndio umeleta utata kidogo.
Ukweli ni kwamba shule nyingi jinsi ya ukusanyaji hiyo michango inawachanganya wazazi.
Mfano Shule ya msingi Uhuru wasichana, kuna mlinzi ambaye serikali inamlipa. Lakini wazazi wanalazimishwa Kila mwezi kulipa pesa ya mlinzi. Mtoto asipopeleka anapigwa viboko. Ukiuliza kazi ya huyo mlinzi wa pili ni ipi wanadai analinda mabegi ya anafunzi!
Ukienda kuuliza sababu ya kumpiga mtoto viboko mwalimu atakupeleka darasani na kuwauliza wanafunzi mbele yako kuwa.... Eti fulani nimempiga viboko?
Wanafunzi: Hapana!
Wamewafundisha watoto kuwa akija mtu hapa akisema tunawachapa kataeni, Ole wake atakaye sema. Huo ni mfano tu wa baadhi ya michango ambayo haina kichwa wala miguu.
Mkuu padre na msela muongo silaa kaula we bado tu mkuu.Ungetaja jina la shule INGEPENDEZA zaidi. Ila ninachojua kuwa katika baadhi ya shule wazazi wanakubaliana kulipia michango ya ulinzi na hata ujenzi wa mabweni kwani fedha za kugharamia matumizi hayo hazitolewi na serikali
Kwa hiyo mwanao ataenda shule Bila sare,Nauli Wala daftari? Elimu bureNaona huu uzi walimu wamekuja resi wanatoaje povu la kufa mtu hahahhaaaa
Unapoambiwa BURE maana yake nini
Acheni mambo zenu bure maana yake hakuna gharama sasa michango ya nini alafu kwanini asipate ripoti mpaka atoe hela hizo n tamaa
Ooh wazazi wazazii mlaumu waliosema bure sisi tunafyatua tu tunaleta BUREEE
Tell True, goodMara kadhaa nimemsikia waziri akielezea vizuri tu maana ya elimu bure, we mleta uzi acha upoyoyo,uzae mitoto yako ushindwe kulipa 5000 kwa mwaka?
Huu uhandishi wako mƙuu sonkuno unaniacha hoiKatika watu ambao thinking capacity yao ni sifuri ni huyu aliye leta huu uzi, yaani unazaa ili watu wengi wakulelee? Mhs Rais ameonesha pa kuanzia sio kila kitu yeye fikili tena tafadhali