mgonjamichael
Member
- Oct 31, 2015
- 66
- 15
Nina mchumbaangu tunapendana sana ila kikwazo ni wazazi wake hawanitaki kisa tofaut ya dini na kabila nifanyeje? naombeni ushaur wadau
Nina mchumbaangu 2napendana sana ila kikwazo ni wazaz wake hawanitaki kisa tofaut ya dini na kabila nifanyeje? naombeni ushaur wadau
Nina mchumbaangu tunapendana sana ila kikwazo ni wazazi wake hawanitaki kisa tofaut ya dini na kabila nifanyeje? naombeni ushaur wadau
Mjaze Mimba au Nenda MITI MIREFU Bagamoyo Yataisha Upesi Sana Hayo. Muda Mwingine Unatakiwa KUFUMBA Macho Kufanya MAAMUZI Magumu Na Ya Kimafia Zaidi Na Tutakuja Kujibu Dhambi Zetu Kikaangoni Mbinguni.
Khaa!! Acha kulialia bana. Magufuli kaapishwa tayari. Kuna millions of girls out there...Nina mchumbaangu tunapendana sana ila kikwazo ni wazazi wake hawanitaki kisa tofaut ya dini na kabila nifanyeje? naombeni ushaur wadau