Wazazi wa Azory Gwanda Wazungumza.

Wazazi wa Azory Gwanda Wazungumza.

Fikrazangu

Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
15
Reaction score
25
"Tunaishi maisha ya shida na ufukara mkubwa tangu Azori alipotoweka, familia haina msaada na hatujui kama yupo hai au alikufa, tunaomba Rais (John Magufuli) atusaidie mtoto wetu apatikane."- Mama Mzazi wa Mwandishi Azory Gwanda, Eva Mpulumba (85)

Serikali ya Wanyonge inawezaje kuishi na vilio hivi vya damu zisizo na hatia zilizomwagika?View attachment 1105807
 
Pole mama Azory, uchungu wa mwanao unaujua wewe kuliko mwingine yeyote.
Nakupa pole zaidi kwa sababu huyo uliyemwambia wala hana habari na sanasana atakucheka tu. Yeye ameshindwa kuhamia Dodoma kwa sababu mama yake ni mgonjwa Dar es Salaam, lakini hajali kama wengine nao wana wazazi au watoto wanaowajali kama yeye anavyojali uwepo wa mama yake mgonjwa.
Mwachie Mungu atafuta machozi yako, yeye aliye faraja ya kinamama wote atakufariji.
TUMEZALIWA MARA MOJA, TUTAKUFA MARA MOJA.
 
Kuna vitu vinaumiza mno nimeingalia picha ya wazazi nimejikuta naumia zaidi bora ujue ndugu amekufa mmezika kuliko kutokujua yuko wapi,mzima ama amekufa Allah amuepushe na mabaya huko aliko.
 
Shukrani Mkuu kwa maneno mujarab
Pole mama Azory, uchungu wa mwanao unaujua wewe kuliko mwingine yeyote.
Nakupa pole zaidi kwa sababu huyo uliyemwambia wala hana habari na sanasana atakucheka tu. Yeye ameshindwa kuhamia Dodoma kwa sababu mama yake ni mgonjwa Dar es Salaam, lakini hajali kama wengine nao wana wazazi au watoto wanaowajali kama yeye anavyojali uwepo wa mama yake mgonjwa.
Mwachie Mungu atafuta machozi yako, yeye aliye faraja ya kinamama wote atakufariji.
TUMEZALIWA MARA MOJA, TUTAKUFA MARA MOJA.
 
#mbuzi anaomba msaada kwa fisi ili afikishwe salama[emoji848][emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom