Mwijagebrightness
Member
- Jul 18, 2022
- 5
- 3
Wazazi na walezi wamekua na mitazamo tofauti hisusani katika suala zima la watoto wao kujingia kataika tasinia ya Uwanamitindo (walimbwende) suala hili limekua likiwatia ukakasi mkubwa wazazi na jamii kwa ujumla, japo kazi hii huwa na changamoto nyingi lakini vijana wengi wameridhika nayo na huwapatia chochote kitu cha kujikimu kwa maisha yao ya kila siku, wazazi na jamii kwa ujumla wamekua wakichukulia kazi hii ni ya kihuni na kuwa mtoto akijiunga kufanya kazi hii huharibikiwa hapo baadaye.
Hii inatokana na vijana wenyewe kuifanya kazi hii ya Uwanamitindo (model) kazi sehemu amabayo unaweza fanya kitu chochote (zuri/baya) na mwisho wa siku kazi hii ekua ikigubikwa na kashfa nyingi chafu. Lakini ukweli ni kwamba wazazi hawapaswi kuwakataza kufanya kazi hii bali waitambue na kuwashika mkono watoto wao kwa kuwapa uangalizi wa karibu,
WANAMITINDO! Wanapaswa kubadilika na kuheshimu kazi hii,maan kwa dunia hii nyenye utandawazi uliokithiri mitindo si ya kiti cha kuzuilika hivyo basi baadhi ya wanamitindo wasiifanye kazi hii kama kazi iliyolaaniwa na yenye kufuru nyingi bali watumie katika kujipatia kipato na kuleta maendeleo katika jamii zao #mitindo inalipa usichukulie poa.
#MwijageBright