Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,754 Reaction score 10,031 Aug 2, 2024 #1,041 ephen_ said: Hiki ndicho mimi ninakiwaza! Lakini mzee wa hovyo Dr Restart anaforce niolewe sasa hivi hovyoo kabisa Click to expand... get a life kwanza either way ubahatike tu kukutana na mkaka mwenye hela na wenyewe hawapatikani kirahisi sana
ephen_ said: Hiki ndicho mimi ninakiwaza! Lakini mzee wa hovyo Dr Restart anaforce niolewe sasa hivi hovyoo kabisa Click to expand... get a life kwanza either way ubahatike tu kukutana na mkaka mwenye hela na wenyewe hawapatikani kirahisi sana
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 19,975 Reaction score 73,310 Aug 2, 2024 Thread starter #1,042 Palina said: get a life kwanza either way ubahatike tu kukutana na mkaka mwenye hela na wenyewe hawapatikani kirahisi sana Click to expand... Uzi ufungwe
Palina said: get a life kwanza either way ubahatike tu kukutana na mkaka mwenye hela na wenyewe hawapatikani kirahisi sana Click to expand... Uzi ufungwe
Palina JF-Expert Member Joined Oct 9, 2021 Posts 3,754 Reaction score 10,031 Aug 2, 2024 #1,043 ephen_ said: Kwani wewe umeshaolewa?π€ Click to expand... Mimi sijaolewa bado lakini soon inshallah mi mama yangu hajawai ni force niolewe she forced me kutafuta ka kitu walau niweze hata mudu breakfast ya afu tatu π π π π then i can look forwad π
ephen_ said: Kwani wewe umeshaolewa?π€ Click to expand... Mimi sijaolewa bado lakini soon inshallah mi mama yangu hajawai ni force niolewe she forced me kutafuta ka kitu walau niweze hata mudu breakfast ya afu tatu π π π π then i can look forwad π
Dr Restart JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 4,987 Reaction score 24,334 Aug 2, 2024 #1,044 ephen_ said: Hiki ndicho mimi ninakiwaza! Lakini mzee wa hovyo Dr Restart anaforce niolewe sasa hivi hovyoo kabisa Click to expand... Usiniquote na upuuzi wako.
ephen_ said: Hiki ndicho mimi ninakiwaza! Lakini mzee wa hovyo Dr Restart anaforce niolewe sasa hivi hovyoo kabisa Click to expand... Usiniquote na upuuzi wako.
M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 2,230 Reaction score 8,328 Aug 6, 2024 #1,045 Palina said: get a life kwanza either way ubahatike tu kukutana na mkaka mwenye hela na wenyewe hawapatikani kirahisi sana Click to expand... Kupatikana wanapatikana shida hawakuoi mpaka wahakikishe na wewe una hela kama wao. Hawana imani wanajua umefata hela zao
Palina said: get a life kwanza either way ubahatike tu kukutana na mkaka mwenye hela na wenyewe hawapatikani kirahisi sana Click to expand... Kupatikana wanapatikana shida hawakuoi mpaka wahakikishe na wewe una hela kama wao. Hawana imani wanajua umefata hela zao
M Mosimo Senior Member Joined Aug 15, 2024 Posts 104 Reaction score 251 Aug 15, 2024 #1,046 n-propanol said: Wazazi wanaogopa magoli yakianza kuingia kusawazisha inakuwa ngumu na soko limejaa ushindani mkaliππ Click to expand... Of course kusawazisha akiwa home ni ngumuu.
n-propanol said: Wazazi wanaogopa magoli yakianza kuingia kusawazisha inakuwa ngumu na soko limejaa ushindani mkaliππ Click to expand... Of course kusawazisha akiwa home ni ngumuu.
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,849 Reaction score 23,433 Feb 17, 2025 #1,047 Kuna dada mmoja wa kijapan anaitwa Yuki alihadithia same story. Anasema mama yake alimweka chini akamwambia ni wakati wa kuolewa na kumuhudumia mumeo. Yuki listened to her mother very carefully. And said, *** that shit and moved to Canada
Kuna dada mmoja wa kijapan anaitwa Yuki alihadithia same story. Anasema mama yake alimweka chini akamwambia ni wakati wa kuolewa na kumuhudumia mumeo. Yuki listened to her mother very carefully. And said, *** that shit and moved to Canada