Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,301
Dharau zako ndo zinakuponza..Hamna muoaji hapo!๐
๐๐๐๐๐๐
Dharau zako ndo zinakuponza..Hamna muoaji hapo!๐
Hilo ni la kuuliza kwa binti anaeitaka American Dream ๐๐Kwanini mimi ndugu yangu๐๐
Hutaki ila kusaidia majukumu nako unakuta hutaki pia..Sasa hii kitu mimi ndio sitaki
Wanawake wachache wako hivyo, atataka awe na kipato ila mwisho wa siku hicho kipato mume hakioni..Majukumu nitasaidia
Tutasaidiana! Mimi sina tabia ya uchoyoWanawake wachache wako hivyo, atataka awe na kipato ila mwisho wa siku hicho kipato mume hakioni..
Anachooffer ndani ni mbunye na ujeuri kua hata bila mume anaweza kusurvive. Mwisho wa siku ndoa inakua ndoano tena.
Nikikupa ujumbe utaufikisha.Ndio
KilimanjaroHapo kwa mangi unakunywa nini
Mwambie anipgie simu.Ndio
IKo PmNamba yako?
๐๐๐๐๐EwwwwwwHamna muoaji hapo!๐
๐๐๐๐Sawa msubiri tuKuna kijana namsikiliziaโบ๏ธ
Bora niwe single ๐๐๐๐๐Sawa msubiri tu
Ukikuta alikua anasikiliziwa na mrembo mwingine uje nikupe kaka angu Vincenzo Jr