T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,801
- 46,711
Hata sio mabinti peke yao. Vijana ambao tunatafuta bado nao waliokurupuka kuoa wanaonja joto la jiwe. Mtu kisa kamaliza chuo wazazi hao mbiombio wanataka aoe au kuolewa. Kuna washkaji zangu Waislamu wao wazazi wanaandaa mazingira kijana akimaliza ataoa na atamtunza mke kwa hiki kibiashara. Sunna haiji na maneno matupu.Umemaliza kila kitu. Hata mimi nina ushuhuda wa mabinti wengi wanaoishi kimaskini kwa kuharakia ndoa.
Why? She's in an employment thoughHalafu anakuja kuwa mama ntilie.
Kapeace naona unanichamba kiainaKuna binti nadhani mtakuwa mnalingana nae kamaliza degree miaka 4 iliyopita, alitaka sana kuolewa na milionea ili atukomeshe macuzooo ni wiki iliyopita tu kanipigia anatafuta mume walau mwenye elimu na kazi ya kuzugia,π€£π€£ anataka mbinu za kumnasa mwanaume wa kumpa heshima ya ndoa nyie dunia iko speed, yuko very desperate kwa sasa anahaha hadi huruma nyodo zote zimemuisha
Kama hauko tayari kuolewa baki hivyo hivyo ila huko mbeleni usije sumbua watu km huyo cuzo wangu
Ni sawa tu ila chunga pia usiwapelekee wazazi aibu nyumbani, usije ukageuzwa kiburudisho wa wadauSina mpango wa kuolewa, sifikirii hata kwa sasa
Yaani kuhusu ndoa mimi bado sana..!
Hahahahaha nazingua nn dogo ? Kama namjua ni mzuri nisimpe sifa zake ?Braza unazingua kishenz...Yani ni Hahahahahππ
Kuna kijana hapo juu kasema Kila siku akija kwenu unamfungia vioo ππππKapeace naona unanichamba kiaina
Mimi nitaolewa ila sio sasa halafu hata sichagui sijui millionaire au kapuku muhimu nitimize ndoto zangu kwanza halafu ndo niungane na huyo Mr right
Umri wangu unaniruhusu cz hata baada ya miaka 5 mimi bado nitakua sijagusa 30π
Safari njema kwenye ndoa mkuuπHabari!
Nilipomaliza chuo nilipatwa na mkasa. Ile nimemaliza tu mitihani nikamtaarifu mama, tukaongea tu vizuri kwa muda mfupi chumbani kwake, sasa wakati natoka nje akaniuliza swali 'kwahiyo ushapata mtu wa kukuoa?' moyo ulishtuka halafu chap nikaendelea na safari hapo nikajifanya sijamsikia.
Ikawa wimbo anaoupenda 'ushapata wa kukuoa? Nikawa namwambia sipo tayari kwa sasa nikimjibu hivyo anaanza kutoa risala 'unajua inabidi uolewe mimi najisikia vibaya kukuona tu hapa nyumbani'
Siku moja nikamwambia mimi sijapata hata wa kunioa, akasema 'uzuri wote huo hakuna aliyesema anataka kukuoa' ilibidi tu nicheke mimi nilikua nishasoma akili yake kwamba uoga wa maisha unamsumbua
Ishapita miaka 3 tokea kisa hiki kitokea, juzi nikasema acha niwaulize wenzangu kama wanakutana na maswahibu kama yangu sababu huu wimbo mama angu bado anauimba
Rafiki yangu FLORA
Yeye aliniambia alivyomaliza Mitihani alichelewa kurudi nyumbani kwa miezi kadhaa, sasa kuna siku akaumwa akalazwa mama yake alivyoenda hospital akamkuta Flora yupo na boyfriend wake ila huyo bf akawapisha waongee
Mama ake akamuuliza 'huyo kijana ni nani' Flora akamjibu ni rafiki yake.
Mama ake akamwambia bills ni kiasi gani ili alipie! Flora akamwambia 'rafiki yangu ameshalipia' mama yake akaguna
Sasa Flora alivyorudi kwao, mama yake akaanza kuimba nyimbo kila mara 'Yule rafiki yako yuko wapi akuoe kuliko kushinda ndani kila siku' Flora akaishia tu kucheka.
Rafiki yangu REBECCA
Yeye alikua anabanwa sana, ni wale watoto geti kali. Alivyomaliza chuo kuna siku akamuomba mama yake ruhusa ya kwenda kumsalimia rafiki yake.
Mama yake hakumuuliza maswali mengi kama alivyokua anafanya hapo awali.
Jioni mapema Rebecca aliporudi mama yake akamwambia 'Mbona umerudi mapema' akamjibu nilienda kumuona tu mara moja
Mama yake akamwambia 'Ebu tembeatembea wachumba wakuone sio kujifungia tu ndani'
Ila ameniambia huo wimbo mama yake aliuacha baada ya yeye kupata kazi.
Rafiki yangu ASHA
Huyu ndiye amenichekesha sana, anasema tulivyomaliza chuo baba yake akawa anamwambia 'fanya uolewe sitaki kukuona nyumbani kwangu'
Kuna siku akaenda kazini kwa baba yake akamkuta yupo na wanaume wengine akawasalimia.
Kijana mmoja akamwambia mzee wake kwamba akujua kama ana binti mkubwa vile! Mzee wake akajibu 'Huyu ni binti yangu kamaliza chuo mwaka huu na bado hajaolewa' wote wakaishia kucheka.
Haikupita miezi mingi baba yake akamletea mchumba, ubani ukachomwa sasa hivi yupo kwenye ndoa.
Nilichokiona wazazi wengi ambao hawajajipata kazi wanayotupa watoto wa kike ni kuolewa tena kama mtoto hajapata kazi ya kufanya.
Ila ukiwa na kazi nzuri unapata pesa, hii risala ya kuolewa hawatoi hata ukifikisha miaka 40.
Sasa sijui wa kulaumiwa ni CCM, wazazi wetu au sisi watoto.
If that's the case then kuore mondufo mae.Why? She's in an employment though
HahahahahaKapeace naona unanichamba kiaina
Mimi nitaolewa ila sio sasa halafu hata sichagui sijui millionaire au kapuku muhimu nitimize ndoto zangu kwanza halafu ndo niungane na huyo Mr right
Umri wangu unaniruhusu cz hata baada ya miaka 5 mimi bado nitakua sijagusa 30π
We ni kicheko Muda wote.Hahahahaha nazingua nn dogo ? Kama namjua ni mzuri nisimpe sifa zake ?
30βsUna miaka mingapi ?
Hahahahaha, huyu alitakiwa ajazwe mimba kabisaKuna binti nadhani mtakuwa mnalingana nae kamaliza degree miaka 4 iliyopita, alitaka sana kuolewa na milionea ili atukomeshe macuzooo ni wiki iliyopita tu kanipigia anatafuta mume walau mwenye elimu na kazi ya kuzugia,π€£π€£ anataka mbinu za kumnasa mwanaume wa kumpa heshima ya ndoa nyie dunia iko speed, yuko very desperate kwa sasa anahaha hadi huruma nyodo zote zimemuisha
Kama hauko tayari kuolewa baki hivyo hivyo ila huko mbeleni usije sumbua watu km huyo cuzo wangu
Hahahahaha, Mkuu mie mtu wakupenda kufurahi tuWe ni kicheko Muda wote.
Hahahaha.
Samahani cuzo ni akina nani huko dasalamu?Kapeace naona unanichamba kiaina
Mimi nitaolewa ila sio sasa halafu hata sichagui sijui millionaire au kapuku muhimu nitimize ndoto zangu kwanza halafu ndo niungane na huyo Mr right
Umri wangu unaniruhusu cz hata baada ya miaka 5 mimi bado nitakua sijagusa 30π
Hahahahaha, dizaini hizo kwa kuchagua ndio wenyeweKuna kijana hapo juu kasema Kila siku akija kwenu unamfungia vioo ππππ
bado tupo tupo sanaHata sisi kila kukicha unaulizwa baba unaoa lini?