Wazanzibari wataka ajira kwa Watanganyika huko Visiwani ikomeshwe; wagonga mwamba!

hoteli zote zinajulikana na ni kweli wengi ni wabara ila hawana maisha, mishahara haifiki laki 2 kwa mwezi. huwezi linganisha na wapemba wa kariakoo wenye mtaji wa zaidi ya Trilioni. hawa ni watu wa njaa tu ninawajua asilimia kubwa. hao wamasai wanasaidia kukuza zaidi utalii maana ni kivutio na pia wengi ni walinzi tu hawaelewi wanachofanya zaidi ya kusuka rasta na kuruka ruka.
Ndio maana nasema ije Tanganyika. wa znz waendeshe utalii wao wenyewe.

Mtu yoyote mwenye akili na ufahamu akikusoma hapa ataona kabisa wewe ni Low profile.

Ina maana ujui kuwa mishahara inapangwa kutokana na Kisomo chako, kazi unazofanya. Na ukimuona mtu amekubali kufanya kazi basi ujue ameona kuna maslahi kinyume cha hapo angeondoka kurudi kwake. Kwani mkataa kwao mtumwa.

Kumbuka kuwa TGK kuna wachina, wahindi,wazungu, wakenya na mataifa mengine kibao wanaofanya biashara na wengine wawekezaji. Hivyo hata ukiwa nje ya muungano hao waZnz wataendelea na biashara zao kama wawekezaji wa kigeni kwa kufuata tartibu za kiuhamiaji.

Us'tie shaka kuwa na amani kwani hakuna kitu bora kama uwekezaji wa ndani na ndio huo unaoinua uchumi wa nchi.

Pole sana

Watanganyika tupo zaidi ya milioni 40, angapi wameajiriwa Z'bar? Ni asilimia ngapi ya watanganyika wote. I believe their number is too insignificant to affect our view about the union.
Mkuu,

Hivi kuna nchi gani duniani raia wake wote wameajiliwa. Naona unataja mpaka watoto, wazee wote unataka wakaajiliwe Zanzibar.
 
Mtu yoyote mwenye akili na ufahamu akikusoma hapa ataona kabisa wewe ni Low profile.

Ina maana ujui kuwa mishahara inapangwa kutokana na Kisomo chako, kazi unazofanya. Na ukimuona mtu amekubali kufanya kazi basi ujue ameona kuna maslahi kinyume cha hapo angeondoka kurudi kwake. Kwani mkataa kwao mtumwa.

Kumbuka kuwa TGK kuna wachina, wahindi,wazungu, wakenya na mataifa mengine kibao wanaofanya biashara na wengine wawekezaji. Hivyo hata ukiwa nje ya muungano hao waZnz wataendelea na biashara zao kama wawekezaji wa kigeni kwa kufuata tartibu za kiuhamiaji.

Us'tie shaka kuwa na amani kwani hakuna kitu bora kama uwekezaji wa ndani na ndio huo unaoinua uchumi wa nchi.

Pole sana

Akhui Barubaru

Nashukuru kwa hiyo bayana yako haiwezekani mtu atoke Arusha aende Zanzibar kuwa mtumwa watu wanafuta maslahi.
 
Last edited by a moderator:
Mbona biashara nyingi huku zimeshikwa na kufanywa na wahindi, kwani tuna muungano nao wa serikali ngapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu,

Hivi kuna nchi gani duniani raia wake wote wameajiliwa. Naona unataja mpaka watoto, wazee wote unataka wakaajiliwe Zanzibar.

Anyway, walioajiriwa huko ni percent ngapi ya labourforce ya tanganyika mpaka useme ni pepo ya ajira?
 
Mtu yoyote mwenye akili na ufahamu akikusoma hapa ataona kabisa wewe ni Low profile.

Ina maana ujui kuwa mishahara inapangwa kutokana na Kisomo chako, kazi unazofanya. Na ukimuona mtu amekubali kufanya kazi basi ujue ameona kuna maslahi kinyume cha hapo angeondoka kurudi kwake. Kwani mkataa kwao mtumwa.

Kumbuka kuwa TGK kuna wachina, wahindi,wazungu, wakenya na mataifa mengine kibao wanaofanya biashara na wengine wawekezaji. Hivyo hata ukiwa nje ya muungano hao waZnz wataendelea na biashara zao kama wawekezaji wa kigeni kwa kufuata tartibu za kiuhamiaji.

Us'tie shaka kuwa na amani kwani hakuna kitu bora kama uwekezaji wa ndani na ndio huo unaoinua uchumi wa nchi.

Pole sana

ziagizeni hotel za kitalii zisiajiri mtanganyika ziajiri wa znz pekee.

asilimia 80 ya ajira za hotel kwa wabara hupata wakiwa bara na kusafirishwa kuja znz. hotel nyingi za znz ziko na maeneo mengi bara kama serena, tembo hotel .... hivyotembo hotel arusha huajiri watu na kuwasafirisha. sasa znz ipige marufuku wabara kufanya kazi huko kwa kigezo cha wa znz wafanye wenyewe. hatuzitaki kazi hizo za kushwaini watanganyika. hao wachache wanaofanya hawajitabui, wanahitaji kupigwa msasa kujua wanafanya kazi za kitumwa.
 
Sijui mods wametumia vigezo gani kuunganisha huu uzi...naona sisi wengine hatuna haki hapa ngoja niwaache na uzi wenu alamsiki.
 
JUSA JUU JUU......JUU ZAIDI ENDELEENI HIVYOHIVYO HAWA JAMAA WANAJUA WHAT'S NEXT MI NI MZENJI NIKO HAPA MORO MPAKANI MWA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATU WENGI HAWAIFAHAMU HISTORIA DAR, PWANI, TANGA, LINDI, MTWARA, COMORO NA VISIWA VINGINE HATA SEHEMU YA MOZAMBIQUE NI SEHEMU YETU.
TANGU AWALI MPA KA UKO HIVYO WAJERUMANI WALING'ANG'ANIA ILI KULINDA PWANI WALIYOITUMIA KWA MAMBO YAO (ingawa babu zetu wa Oman walikataa). Halafu watu wanaandika humu ati sisi hatujasoma, ulizeni wazazi wenu! KINACHOWAUMIZA WENGI NI DARA IKIONDOKA NDO ROHO YAO WAKO TAYARI KUTUCHIA MWANZA ILA SIYO DAR ILI WAENDELEE KUTUKANDAMIZA KAZA KAMBA JUSA HADI JUMUIA YAKIMATAIFA ITUPIE JICHO SUALA HILI TURUDI MEZANI HAKI IPATIKANE NDO MAANA KAMBI ZA JESHI VISIWANI ASKARI WOOTE NI WABARA NA MZENJI AMBAYE NI MJESHI YUKO BARA NA WAMEWEKWA 5 KWA 70 HAPO MPO????

Hope uende ukasome vizuri historia na jiografia,pale ulipoachia haujapata ya kutosha naomba urudi tena,ili ujue mipaka ya kimataifa inaanzia wapi na kuishia wapi! Na kwanini imewekwa hivyo.Pili jiulize Tanzania Bara ilipata UHURU wake lini na ilipopata UHURU mipaka yake iliishia wapi! Na mwisho iangalie hiyo Msumbiji na Mombasa walipata uhuru lini na mipaka yao ilikuwa ipi,ukimaliza rudi kwenye hoja yako!:A S embarassed:
 
Mkuu,

Sikuweza kufika Fundu Lagoon sikuwa na boti.

Kama una pesa zako nenda tu kanunue unadhani hizo hotel zote ni za wazanzibar.

..muhimu ni suala hilo liwe na nguvu za KISHERIA.

..serikali na CCM wasifumbie macho ubaguzi wanaofanyiwa wa-Tanganyika wanapokuwa Zanzibar.
 
If I am sked to mention racist politicians in Tanzania, the top on my list would be Jussa Ladhu. Worse enough Zanzibaris take Ladhu's personal stands blindly!
Jussa ni muhindi, na tabia ya ubaguzi kwa muhindi huwa haitoki, ni kitu wanazaliwa nacho. Mfano kwa mila zao Jussa hawezi "KUOLEWA" na binti wa CASTE ya juu ya kihindi anadharauliwa [kubaguliwa]
 
Changamkia ajira Zanzibar kama Arusha ngumu.
Kama hii ni kweli kwamba watanganyika wanapata ajira Zanzibar bila vikwazo, basi Mh. Jakaya Kikwete alipotosha umma pale aliposema kuwa kuwepo kwa serikali ya Tanganyika kutaibua hisia za utaifa na kusababisha "wapemba" kutopata fursa Tanganyika.
 
Back
Top Bottom