future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 1, 2021 #1 Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Dec 1, 2021 #2 ukabila na ukanda 2021 ni dalili ya umasikini.
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 709 Dec 1, 2021 #3 Hahaha hahaha hahaha yakheee mpemba mwenzangu habari
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,303 Dec 1, 2021 #4 Sasa hivi siyo tena fahari kuwa mzanzibari baada ya ile reporti ya waziri ya idadi kubwa ya mashoga zenji
Sasa hivi siyo tena fahari kuwa mzanzibari baada ya ile reporti ya waziri ya idadi kubwa ya mashoga zenji
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 1, 2021 Thread starter #5 samua said: Hahaha hahaha hahaha yakheee mpemba mwenzangu habari Click to expand... Yakhee naona nashambuliwa hapa hata sifahamu kosa langu
samua said: Hahaha hahaha hahaha yakheee mpemba mwenzangu habari Click to expand... Yakhee naona nashambuliwa hapa hata sifahamu kosa langu
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,463 Reaction score 7,072 Dec 1, 2021 #6 future lawyer said: Kaka mbona povu wapi umebaguliwa ? Au ndio stori zenu za kutunga Click to expand... Zanzibar
future lawyer said: Kaka mbona povu wapi umebaguliwa ? Au ndio stori zenu za kutunga Click to expand... Zanzibar
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 1, 2021 Thread starter #7 Nyonzo bin mvule said: Zanzibar Click to expand... Hapna wakaz wakule ni wastaarabu hatuna ubaguzi wowote
Nyonzo bin mvule said: Zanzibar Click to expand... Hapna wakaz wakule ni wastaarabu hatuna ubaguzi wowote
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,463 Reaction score 7,072 Dec 1, 2021 #8 future lawyer said: Hapna wakaz wakule ni wastaarabu hatuna ubaguzi wowote Click to expand... Acha ubishi wewe,, labda huo ustaarabu mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe ila sio kwa sie tunaotoka bara
future lawyer said: Hapna wakaz wakule ni wastaarabu hatuna ubaguzi wowote Click to expand... Acha ubishi wewe,, labda huo ustaarabu mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe ila sio kwa sie tunaotoka bara
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 1, 2021 Thread starter #9 Nyonzo bin mvule said: Acha ubishi wewe,, labda huo ustaarabu mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe ila sio kwa sie tunaotoka bara Click to expand... Ubaguzi kule unafanywa na waarabu Coco ndugu yangu hao wengine ni kama wabara tu hawawez bagua
Nyonzo bin mvule said: Acha ubishi wewe,, labda huo ustaarabu mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe ila sio kwa sie tunaotoka bara Click to expand... Ubaguzi kule unafanywa na waarabu Coco ndugu yangu hao wengine ni kama wabara tu hawawez bagua
samua JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,029 Reaction score 709 Dec 2, 2021 #10 future lawyer said: Yakhee naona nashambuliwa hapa hata sifahamu kosa langu Click to expand... Amiii ndivo walivo hao
future lawyer said: Yakhee naona nashambuliwa hapa hata sifahamu kosa langu Click to expand... Amiii ndivo walivo hao
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Dec 2, 2021 #11 Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride
Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 2, 2021 Thread starter #12 Kunguru wa Manzese said: Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride Click to expand... Ndugu yangu nipo magomeni hapa mapunga kibao yamejaaa unasemaje kuhusu hilo
Kunguru wa Manzese said: Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride Click to expand... Ndugu yangu nipo magomeni hapa mapunga kibao yamejaaa unasemaje kuhusu hilo
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 2, 2021 Thread starter #13 samua said: Amiii ndivo walivo hao Click to expand... Hakika wanatuchukia bila sababu
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,208 Dec 2, 2021 #14 future lawyer said: Ndugu yangu nipo magomeni hapa mapunga kibao yamejaaa unasemaje kuhusu hilo Click to expand... Sina la kusema zaidi ya acheni ubaguzi mbona huku kwetu hatuwabagui .tukianza kuwabagua mtajuta mbona
future lawyer said: Ndugu yangu nipo magomeni hapa mapunga kibao yamejaaa unasemaje kuhusu hilo Click to expand... Sina la kusema zaidi ya acheni ubaguzi mbona huku kwetu hatuwabagui .tukianza kuwabagua mtajuta mbona
Godo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,089 Reaction score 1,475 Dec 4, 2021 #15 Mjuane mna mpango gani nyie wamakunduchi.
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 5, 2021 Thread starter #16 Godo said: Mjuane mna mpango gani nyie wamakunduchi. Click to expand... Tukatembeleane
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,956 Dec 5, 2021 #17 future lawyer said: Ubaguzi kule unafanywa na waarabu Coco ndugu yangu hao wengine ni kama wabara tu hawawez bagua Click to expand... Kwaiyo waarabu koko wakuchovya walioko znz wote ni wabaguzi?
future lawyer said: Ubaguzi kule unafanywa na waarabu Coco ndugu yangu hao wengine ni kama wabara tu hawawez bagua Click to expand... Kwaiyo waarabu koko wakuchovya walioko znz wote ni wabaguzi?
future lawyer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2020 Posts 431 Reaction score 435 Dec 5, 2021 Thread starter #18 Dalmine said: Kwaiyo waarabu koko wakuchovya walioko znz wote ni wabaguzi? Click to expand... Baadhi sio wote
Dalmine said: Kwaiyo waarabu koko wakuchovya walioko znz wote ni wabaguzi? Click to expand... Baadhi sio wote
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,964 Dec 5, 2021 #19 future lawyer said: Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu. Click to expand... Yakhee kwema huko nyuma utokako?
future lawyer said: Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu. Click to expand... Yakhee kwema huko nyuma utokako?
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,964 Dec 5, 2021 #20 Nyonzo bin mvule said: Acha ubishi wewe,, labda huo ustaarabu mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe ila sio kwa sie tunaotoka bara Click to expand... Ni kweli wapemba ni wakarimu sana ukifika Pemba basi Jua shida zako zote za huko nyuma utatatuliwa
Nyonzo bin mvule said: Acha ubishi wewe,, labda huo ustaarabu mnafanyiana wenyewe kwa wenyewe ila sio kwa sie tunaotoka bara Click to expand... Ni kweli wapemba ni wakarimu sana ukifika Pemba basi Jua shida zako zote za huko nyuma utatatuliwa