Wazanzibari sasa nao wachague

Wazanzibari sasa nao wachague

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
454
Reaction score
635
Habari GT.
WAZANZIBARI SASA WACHAGUE KATI YA;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.

Ama hakika kama kuna jambo ambalo CCM walikuwa wanalitafuta ni utulivu wa uchaguzi Zanzibar hasa hasa Pemba. Kitendo cha ACT wazalendo kushiriki uchaguzi bila reforms inaipa CCM utulivu Zanzibar, kwa hakikisho hilo CCM hataacha kuwapa fadhili ACT kwenye baadhi ya majimbo huku Bara. Hii inatokana na joto Kali wanayopata kutoka CHADEMA.

Kwa kuwa ACT na CCM washamalizana, ni wazi sasa Wazanzibari Pemba na Unguja wako Chama kimoja, inaonekana ni kama CCM imebaini namna pekee yakuwalambisha asali wasumbufu huko Zanzibar ni kupitia Serikali ya Umoja wa Kitaifa huku ikihakikisha wanabaki kuwa chini yao kwa kuwapa makamu wa Rais wa pili asiye na meno na baraza kivuli lisilo na meno, hii ndo njia ambayo CCM inalambisha asali wasumbufu wakisiasa Zanzibar.

Kwa kuwa Bara ilikuwa chini ya Giza la biashara ya kisiasa chini ya FAM na wajanja wachache, ni wazi kuwa Mungu ameamua tofauti sasa biashara imeingia mchanga na mabadiliko yanadaiwa kwa nguvu kupitia CHADEMA. Kwa kuwa msimamo wa Lissu na CHADEMA kuhusu Muungano uko wazi. Sasa Wazanzibari wana machaguo matatu kupata mamlaka yao kamili, ni ama;

WAZANZIBARI pia wanaweza kusema acha hili lipite maana nchi iko chini ya Wazanzibari wenzao. Iko wazi kwa sasa msimamo wowote wa Wazanzibari utahesabiwa na kupigwa Chapa kwa muhuri wa moto.

Mtazamo wangu:
Kama ACT wasinge sign CCM leo ingekuwa inahangaika kuwaita wote mezani, wanajua moto wa Wazanzibari na nguvu kuwa ya Dola ingepelekwa Zanzibar. Ni wazi sasa Watanganyika lazima wapite kwenye tanuru la moto walilopitia Wazanzibari miaka yote angalu kupata serikali ya Umoja wakitaifa.

Nashuka Jamvini niwatakie Dominika Njema
 
Wazanzibari sasa wanaongoza Tanganyika, Zanzibar na Tanzania Baada ya October watakuwa wanaongoza nchi zote mbili na watakuwa vyama vyote vikuu vya wakati huo kupigania maslahi ya Zanzibar kupitia CCM na ACT na machawa wao wachache wa bara. They never had so good.

Hakuna wa kupigania maslahi ya Tanganyika na Watanganyika.

Wazanzibari sasa wanaongoza Tanganyika, Zanzibar na Tanzania Baada ya October watakuwa wanaongoza nchi zote mbili na watakuwa vyama vyote vikuu vya wakati huo kupigania maslahi ya Zanzibar CCM na ACT. They never had so good.

Hakuna wa kupigania maslahi ya Tanganyika na Watanganyika.
Duh,
Inasikitisha sana!

Watanganyika zaidi ya 60m wamewekwa kitanzini na kikundi cha watu 2m
 
Habari GT.
WAZANZIBARI SASA WACHAGUE KATI YA;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.

Ama hakika kama kuna jambo ambalo CCM walikuwa wanalitafuta ni utulivu wa uchaguzi Zanzibar hasa hasa Pemba. Kitendo cha ACT wazalendo kushiriki uchaguzi bila reforms inaipa CCM utulivu Zanzibar, kwa hakikisho hilo CCM hataacha kuwapa fadhili ACT kwenye baadhi ya majimbo huku Bara. Hii inatokana na joto Kali wanayopata kutoka CHADEMA.

Kwa kuwa ACT na CCM washamalizana, ni wazi sasa Wazanzibari Pemba na Unguja wako Chama kimoja, inaonekana ni kama CCM imebaini namna pekee yakuwalambisha asali wasumbufu huko Zanzibar ni kupitia Serikali ya Umoja wa Kitaifa huku ikihakikisha wanabaki kuwa chini yao kwa kuwapa makamu wa Rais wa pili asiye na meno na baraza kivuli lisilo na meno, hii ndo njia ambayo CCM inalambisha asali wasumbufu wakisiasa Zanzibar.

Kwa kuwa Bara ilikuwa chini ya Giza la biashara ya kisiasa chini ya FAM na wajanja wachache, ni wazi kuwa Mungu ameamua tofauti sasa biashara imeingia mchanga na mabadiliko yanadaiwa kwa nguvu kupitia CHADEMA. Kwa kuwa msimamo wa Lissu na CHADEMA kuhusu Muungano uko wazi. Sasa Wazanzibari wana machaguo matatu kupata mamlaka yao kamili, ni ama;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.
WAZANZIBARI pia wanaweza kusema acha hili lipite maana nchi iko chini ya Wazanzibari wenzao. Iko wazi kwa sasa msimamo wowote wa Wazanzibari utahesabiwa na kupigwa Chapa kwa muhuri wa moto.

Mtazamo wangu:
Kama ACT wasinge sign CCM leo ingekuwa inahangaika kuwaita wote mezani, wanajua moto wa Wazanzibari na nguvu kuwa ya Dola ingepelekwa Zanzibar. Ni wazi sasa Watanganyika lazima wapite kwenye tanuru la moto walilopitia Wazanzibari miaka yote angalu kupata serikali ya Umoja wakitaifa.

Nashuka Jamvini niwatakie Dominika Njema
Kwanza kabisa, hebu tuseme wazi: huu ni mjadala unaojaribu kuwasambaratisha Watanzania kwa msingi wa vyama na maeneo ya kijiografia. Ni siasa za mgawanyiko, za kusambaza hofu, na za kujaribu kuhalalisha usaliti wa kisiasa kwa kuufunika kwa maneno ya “mamlaka kamili” wakati hoja kubwa ni kulinda maslahi ya wachache waliofungamana na dola.

Kuhusu ACT Wazalendo na CCM:Ni aibu kubwa kwa chama kilichojipambanua kama mrithi wa mapambano ya haki na uwakilishi wa kweli—ACT Wazalendo—kugeuka kuwa kinga ya uhalali wa CCM visiwani. ACT kuingia kwenye uchaguzi bila mageuzi si ushujaa, ni usaliti kwa misingi ya kidemokrasia. Ni kuhalalisha dhulma ya uchaguzi wa mwaka 2020 ambapo damu ilimwagika na sauti za watu zilikandamizwa kwa risasi. Sasa wanatunukiwa “fadhila” Bara – si kwa uwezo wao wa kisiasa, bali kwa kuwa wamekuwa chombo cha kudhibiti upinzani halisi huko Zanzibar. Huo si ushindi wa siasa, huo ni muafaka wa aibu.

Kuhusu “machaguo matatu”:Hili ni jaribio dhaifu la kuifanya CHADEMA waonekane kama hawana mchango zaidi ya “kususia.” Lakini hoja ya No Reform No Election si ya kiholela – ni msimamo wa kisiasa wa kupinga uchaguzi wa maigizo, wa kulinda heshima ya kura ya mwananchi, na wa kuhitaji misingi ya haki kabla ya kushiriki mchezo ulioamuliwa kabla. Kama uchaguzi ni mchezo wa CCM na wasaidizi wake wachache, kwa nini tuushiriki? CHADEMA inasimamia mabadiliko ya kweli, si mabadiliko ya nyuso ndani ya mfumo ule ule wa kidhalimu.

Hoja ya “Wazanzibari wameshapata”:Kupata makamu wa pili wa Rais asiye na meno ni kama kumpa mgonjwa tembe zisizo na dawa—ni porojo ya kiutawala. Serikali ya Umoja wa Kitaifa haipo kwa nia njema, bali kama kifaa cha kuzima moto wa mabadiliko. Hili halipaswi kupewa baraka ya kitaifa. Tunahitaji mfumo huru wa uchaguzi, Katiba Mpya, uhuru wa vyombo vya habari, si “fadhila” za kisiasa.

Na kwa wale mnaodhani Watanganyika wanaanza kupitia tanuru la moto walilopitia Wazanzibari—ni vizuri. Maana kwa mara ya kwanza, Watanzania wote wanahisi joto la dhulma. Lakini tofauti na ACT, CHADEMA haitafute baridi kwa kukumbatia moto wa CCM. Inasimama kidete hadi mfumo mzima ubadilike.

Kwa hiyo, Wazanzibari wanaoipenda nchi yao na wanataka heshima ya kura yao – jibu si CCM ya Karume wala ACT ya Maalim. Jibu ni kusimama na mabadiliko ya kweli yanayoletwa na wananchi wenyewe kupitia CHADEMA na vuguvugu la kitaifa la ukombozi wa kidemokrasia.

Hakuna uhuru wa kweli bila mageuzi ya kweli. Na hakuna mageuzi ya kweli bila kusimama na kusema: No Reform, No Election.
 
Wazanzibari sasa wanaongoza Tanganyika, Zanzibar na Tanzania Baada ya October watakuwa wanaongoza nchi zote mbili na watakuwa vyama vyote vikuu vya wakati huo kupigania maslahi ya Zanzibar kupitia CCM na ACT na machawa wao wachache wa bara. They never had so good.

Hakuna wa kupigania maslahi ya Tanganyika na Watanganyika.
Lazima turudi kwenye mambo ya msingi tuliyoyapuuza, lazima tuzungumze katiba mpya tena, turudishe mamlaka ya Tanganyika
 
Kwanza kabisa, hebu tuseme wazi: huu ni mjadala unaojaribu kuwasambaratisha Watanzania kwa msingi wa vyama na maeneo ya kijiografia. Ni siasa za mgawanyiko, za kusambaza hofu, na za kujaribu kuhalalisha usaliti wa kisiasa kwa kuufunika kwa maneno ya “mamlaka kamili” wakati hoja kubwa ni kulinda maslahi ya wachache waliofungamana na dola.

Kuhusu ACT Wazalendo na CCM:Ni aibu kubwa kwa chama kilichojipambanua kama mrithi wa mapambano ya haki na uwakilishi wa kweli—ACT Wazalendo—kugeuka kuwa kinga ya uhalali wa CCM visiwani. ACT kuingia kwenye uchaguzi bila mageuzi si ushujaa, ni usaliti kwa misingi ya kidemokrasia. Ni kuhalalisha dhulma ya uchaguzi wa mwaka 2020 ambapo damu ilimwagika na sauti za watu zilikandamizwa kwa risasi. Sasa wanatunukiwa “fadhila” Bara – si kwa uwezo wao wa kisiasa, bali kwa kuwa wamekuwa chombo cha kudhibiti upinzani halisi huko Zanzibar. Huo si ushindi wa siasa, huo ni muafaka wa aibu.

Kuhusu “machaguo matatu”:Hili ni jaribio dhaifu la kuifanya CHADEMA waonekane kama hawana mchango zaidi ya “kususia.” Lakini hoja ya No Reform No Election si ya kiholela – ni msimamo wa kisiasa wa kupinga uchaguzi wa maigizo, wa kulinda heshima ya kura ya mwananchi, na wa kuhitaji misingi ya haki kabla ya kushiriki mchezo ulioamuliwa kabla. Kama uchaguzi ni mchezo wa CCM na wasaidizi wake wachache, kwa nini tuushiriki? CHADEMA inasimamia mabadiliko ya kweli, si mabadiliko ya nyuso ndani ya mfumo ule ule wa kidhalimu.

Hoja ya “Wazanzibari wameshapata”:Kupata makamu wa pili wa Rais asiye na meno ni kama kumpa mgonjwa tembe zisizo na dawa—ni porojo ya kiutawala. Serikali ya Umoja wa Kitaifa haipo kwa nia njema, bali kama kifaa cha kuzima moto wa mabadiliko. Hili halipaswi kupewa baraka ya kitaifa. Tunahitaji mfumo huru wa uchaguzi, Katiba Mpya, uhuru wa vyombo vya habari, si “fadhila” za kisiasa.

Na kwa wale mnaodhani Watanganyika wanaanza kupitia tanuru la moto walilopitia Wazanzibari—ni vizuri. Maana kwa mara ya kwanza, Watanzania wote wanahisi joto la dhulma. Lakini tofauti na ACT, CHADEMA haitafute baridi kwa kukumbatia moto wa CCM. Inasimama kidete hadi mfumo mzima ubadilike.

Kwa hiyo, Wazanzibari wanaoipenda nchi yao na wanataka heshima ya kura yao – jibu si CCM ya Karume wala ACT ya Maalim. Jibu ni kusimama na mabadiliko ya kweli yanayoletwa na wananchi wenyewe kupitia CHADEMA na vuguvugu la kitaifa la ukombozi wa kidemokrasia.

Hakuna uhuru wa kweli bila mageuzi ya kweli. Na hakuna mageuzi ya kweli bila kusimama na kusema: No Reform, No Election.
Tone Tone, tunataka Mamlaka kamili ya Wazanzibari kuamua kuhusu mambo yao na Watanganyika kuamua mambo yako... Serikali tatu mamlaka kamili. NORENOE
 
Zanzibar CUF/ACT walishasusia uchaguzi mara mbili (2000, 2016) hakuna walichokipata zaidi ya maharibiko zaidi. Tatizo lenu CHadema ni wachanga sana kwenye harakati za kisiasa lakini too much know
 
Samia sasa kaiweka mfukoni CCM yote, Tanganyika yote, kausambaratisha upinzani. Kajipitisha kuwa mgombea CCM bila kufuata taratibu zao. Wote wapo kimya wanamuogopa.

Na kaondoa kikwazo chochote changamoto, hata kunadi sera October 2025.

Kwahiyo atapita bila kushindanisha sera, kupingwa, kupata upinzani wowote, kufanya campaign ya maana october 2025. Ni yeye tu kuamua ni lini ajitangaze kuwa rais tena.
Lazima turudi kwenye mambo ya msingi tuliyoyapuuza, lazima tuzungumze katiba mpya tena, turudishe mamlaka ya Tanganyika
 
Habari GT.
WAZANZIBARI SASA WACHAGUE KATI YA;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.

Ama hakika kama kuna jambo ambalo CCM walikuwa wanalitafuta ni utulivu wa uchaguzi Zanzibar hasa hasa Pemba. Kitendo cha ACT wazalendo kushiriki uchaguzi bila reforms inaipa CCM utulivu Zanzibar, kwa hakikisho hilo CCM hataacha kuwapa fadhili ACT kwenye baadhi ya majimbo huku Bara. Hii inatokana na joto Kali wanayopata kutoka CHADEMA.

Kwa kuwa ACT na CCM washamalizana, ni wazi sasa Wazanzibari Pemba na Unguja wako Chama kimoja, inaonekana ni kama CCM imebaini namna pekee yakuwalambisha asali wasumbufu huko Zanzibar ni kupitia Serikali ya Umoja wa Kitaifa huku ikihakikisha wanabaki kuwa chini yao kwa kuwapa makamu wa Rais wa pili asiye na meno na baraza kivuli lisilo na meno, hii ndo njia ambayo CCM inalambisha asali wasumbufu wakisiasa Zanzibar.

Kwa kuwa Bara ilikuwa chini ya Giza la biashara ya kisiasa chini ya FAM na wajanja wachache, ni wazi kuwa Mungu ameamua tofauti sasa biashara imeingia mchanga na mabadiliko yanadaiwa kwa nguvu kupitia CHADEMA. Kwa kuwa msimamo wa Lissu na CHADEMA kuhusu Muungano uko wazi. Sasa Wazanzibari wana machaguo matatu kupata mamlaka yao kamili, ni ama;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.
WAZANZIBARI pia wanaweza kusema acha hili lipite maana nchi iko chini ya Wazanzibari wenzao. Iko wazi kwa sasa msimamo wowote wa Wazanzibari utahesabiwa na kupigwa Chapa kwa muhuri wa moto.

Mtazamo wangu:
Kama ACT wasinge sign CCM leo ingekuwa inahangaika kuwaita wote mezani, wanajua moto wa Wazanzibari na nguvu kuwa ya Dola ingepelekwa Zanzibar. Ni wazi sasa Watanganyika lazima wapite kwenye tanuru la moto walilopitia Wazanzibari miaka yote angalu kupata serikali ya Umoja wakitaifa.

Nashuka Jamvini niwatakie Dominika Njema

ACT Wazalendo wamekubali nusu mkate. Zitto na kunfi lake wanategemea watapata huruma ya CCM.... Lakini wajue tu kuwa hayo maamuzi yao yatakicost chama hasa huku Bara. Chadema ni kama timu ya Simba au Yanga. Iko mioyoni mwa watu.

Yaani unaweza kuwa CCM au ACT lakini kimoyoni uko Chadema. Vilevile unaweza kuwa Chadema au Cuf lakini kimoyoni uko CCM.
 
Mbona mleta mada munajidanganya CUF/ACT walisha susia chaguzi mbili huko nyuma Zanzibar na ndio walipowapa maCCM kuharibu zaidi na kufanya wanalotaka
 
Habari GT.
WAZANZIBARI SASA WACHAGUE KATI YA;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.

Ama hakika kama kuna jambo ambalo CCM walikuwa wanalitafuta ni utulivu wa uchaguzi Zanzibar hasa hasa Pemba. Kitendo cha ACT wazalendo kushiriki uchaguzi bila reforms inaipa CCM utulivu Zanzibar, kwa hakikisho hilo CCM hataacha kuwapa fadhili ACT kwenye baadhi ya majimbo huku Bara. Hii inatokana na joto Kali wanayopata kutoka CHADEMA.

Kwa kuwa ACT na CCM washamalizana, ni wazi sasa Wazanzibari Pemba na Unguja wako Chama kimoja, inaonekana ni kama CCM imebaini namna pekee yakuwalambisha asali wasumbufu huko Zanzibar ni kupitia Serikali ya Umoja wa Kitaifa huku ikihakikisha wanabaki kuwa chini yao kwa kuwapa makamu wa Rais wa pili asiye na meno na baraza kivuli lisilo na meno, hii ndo njia ambayo CCM inalambisha asali wasumbufu wakisiasa Zanzibar.

Kwa kuwa Bara ilikuwa chini ya Giza la biashara ya kisiasa chini ya FAM na wajanja wachache, ni wazi kuwa Mungu ameamua tofauti sasa biashara imeingia mchanga na mabadiliko yanadaiwa kwa nguvu kupitia CHADEMA. Kwa kuwa msimamo wa Lissu na CHADEMA kuhusu Muungano uko wazi. Sasa Wazanzibari wana machaguo matatu kupata mamlaka yao kamili, ni ama;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.
WAZANZIBARI pia wanaweza kusema acha hili lipite maana nchi iko chini ya Wazanzibari wenzao. Iko wazi kwa sasa msimamo wowote wa Wazanzibari utahesabiwa na kupigwa Chapa kwa muhuri wa moto.

Mtazamo wangu:
Kama ACT wasinge sign CCM leo ingekuwa inahangaika kuwaita wote mezani, wanajua moto wa Wazanzibari na nguvu kuwa ya Dola ingepelekwa Zanzibar. Ni wazi sasa Watanganyika lazima wapite kwenye tanuru la moto walilopitia Wazanzibari miaka yote angalu kupata serikali ya Umoja wakitaifa.

Nashuka Jamvini niwatakie Dominika Njema
Kama unawategemea wazenj umefeli
 
Kwa kero za Muungano Wazanzibari wanajua bila shaka kwamba if not now then it’s Never 😳 !
Ngoja Tusubiri tuone !
 
Hizi porojo tu
 
Back
Top Bottom